Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

angalia link kisha nipe jibu
 
Kupata gawio au kukosa kunategemea vitu viwili. Uwepo wa faida/ hasara. Aina ya umiliki wa hisa. Wanahisa wanaomiliki hisa pendwa (preferred stocks) hupata gawio bila kujali kama kuna faida au hasara.
Wanahisa wanaomiliki hisa za kawaida (ordinary shares) hupata gawio kunapokuwa na faida.
 
Slow Slow njoo huku umalize ubishi. Wewe ni bingwa wa kufafanua mambo. Lile la tri.1.5
Ulilimaliza kwa kuleta habari ya Accruals, receivables na hati fungani. Hili la gawio najua hutashindwa, njoo upesi watu wanaparurana huku.[emoji2223][emoji2223][emoji2223]
 

 
mm sijasoma sanaa ila ninavojua kwa biashara yangu hii ya uchinga ikifika jion sina faida.... alafu nimtumie My wangu na yakutolea..... maana yake mtaji wangu utakua umepungua na kesho nitanunua mzigo pungufu..... na endapo nitarudia kufanya ivo ndani ya siku kumi ..... Baasi baada ya siku kumi sitakua na uwezo wa kununua mzigo wa kuingia nao barabarani......

Sijajua kuhusu mashirika ya ndege labda yananamna za kisomi ambazo wanaweza kupata hasara na kulipa gawio pasipo kuathiri mitaji yao..... wasomi watusaidie
 
ndo nshakusaidia sasa
 
A company might record a net loss on its income statement while remaining cash flow positive. Look at the cash flow statement for free cash flow (operating cash flow minus capital expenditures). Cash flows determine the sustainability of dividends.

Malizia kila kitu
 
Utatoaje gawio wakati una hasara?!Fafanua
 
Kuna mtu au watu wapo on target kuwa prove wrong, that's bad! Hebu hizi nguvu zitumike kulijenga taifa. We have to move forward guyz!
 
umekariri mkuu sio mpaka kuwe na profit
Soma vizuri source yako. Mimi si mhasibu lakini nimeelewa kuwa unaweza kutoa kutoka kwenye Reserve ambayo pengine ni Retained Earning ya faida ya miaka ya nyuma. Swali ni kuwa, ni mwaka upi ATCL ilipata faida na hivyo ikawa na such Reserve ambayo inaweza kutumika kulipa gawio.?

Taasisi za umma zinatoa CONTRIBUTIONS kwa serikali kuu kutoka kwenye bajeti zake za mwaka pale inapotokea wakawa na CASH kubwa kuliko commitments zao za kumaliza mwaka wa fedha na hiyo kwa tafsiri ya kiuhasibu si DIVIDEND.
 
Uko vzuri,
 
Uko vzur sana, hivyo tu uwezi tuma na kutolea bila kuwa na faida, mfano mzuri sana unapaswa kupewa cheo
 
umesoma part ndogo hujamaliza yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…