Safi! 😁Mimi leo mmeondoa bandiko langu linahusu wafia dini bila kunambia lina kasoro gani na kamwe huwa situation mtu kwenye machapisho yangu.
Swali kwanini mmeondoa bandiko hilo la wafia dini?
Jamaa anamatusi yule utafikiri alizaliwa kinyumenyumeHivi ni kwann Huwa mnajiamulia kufuta thread ya mtu bila kumpa taarifa au vinginevyo?huu sio udikteta ambao tunaupinga Kila siku enyi JF? halafu kuna watu wanatoa lugha chafu lakini unakuta ikitolewa report bado apewi Ban ,unakuta bado anaendelea kuporomosha matusi! Wengine humu ni vichaa kwaiyo akiripotiwa mara kwa mara inatakiwa apigwe Life Ban.. sikutegemea mtu kama GENTAMYCINE Hadi leo bado hajapigwa marufuku kutumia huu mtandao! ila pamoja na yote mnastahili pongezi pamoja nakupitia changamoto nyingi ila forum yenu imetusaidia sana sana.
Litakuja kwa style ya kipekee sana mkuu Tulia leo nawavutia pumzi tu uzuri kila ninapo maliza kabla sijapost huwa nalikop na kupaste mahali kwahiyo lipo kama lilivyo dk2 tu hili hapo😂Safi! 😁
Post tuku reportLitakuja kwa style ya kipekee sana mkuu Tulia leo nawavutia pumzi tu uzuri kila ninapo maliza kabla sijapost huwa nalikop na kupaste mahali kwahiyo lipo kama lilivyo dk2 tu hili hapo😂
Kwa sasa ni community moderation; huenda wafia dini wameli-reportSwali kwanini mmeondoa bandiko hilo la wafia dini?
Hahaha, ila naomba tool itumike vema.Post tuku report
Ngoja nikavute kitu ili ukija tunapambana mwa-mwi🤒Litakuja kwa style ya kipekee sana mkuu Tulia leo nawavutia pumzi tu uzuri kila ninapo maliza kabla sijapost huwa nalikop na kupaste mahali kwahiyo lipo kama lilivyo dk2 tu hili hapo😂
Huna upeo huo😁Ngoja nikavute kitu ili ukija tunapambana mwa-mwi🤒
Mkuu neno wafia dini lina shida gani? Nieleweshwe.Kwa sasa ni community moderation; huenda wafia dini wameli-report
😎
Halina shida Ila amelitumia lama kivumishi cha wanazi wa diniMkuu neno wafia dini lina shida gani? Nieleweshwe.
Mkuu,Mkuu neno wafia dini lina shida gani? Nieleweshwe.
Ai isn’t banned yet😎Huna upeo huo😁
Naam mkilipitia na kuona linakasoro pls tuwe tunajurishwa ili tujifunze sio kufuta kisha mnakaa kimya sisi sio manabii kwamba tutaota hapana tujurishwe.Mkuu,
Si mimi, yaani hata uniite MFIA DINI sina shida, naitetea haki yako ya kunifikiria upendavyo.
Umma ukiripoti kwa wingi kuwa unawakwaza, hatuna namna ya kulipitia bandiko
Yani hata ureport na maparody yako mengi uzi unakwenda na maji!naomba kuelekezwa: maana yake kila mtu anaweza kufuta post ya mwenzake kwa kubonyeza report ? au ni hadi watu kadhaa wafanye hivyo kwa pamoja