Shiriki Katika Kudumisha Ubora na Usalama wa JamiiForums, tumia REPORT button

we mwenyewe ukibanwa mbavu unaanza kutoa matusi, una lugha ngumu sana
 
Kuna watu wata turipot sisi tunaotumia lugha ngumu kusifia wamama wenye matter call makubwa..

Kwa kuwaita mashangazi.. sasa ole wao
 
Mimi leo mmeondoa bandiko langu linahusu wafia dini bila kunambia lina kasoro gani na kamwe huwa situation mtu kwenye machapisho yangu.

Swali kwanini mmeondoa bandiko hilo la wafia dini?
safi sana kwa kuondolewa hilo bandiko la kukashifu wenye imani ya dini
 
GENTAMYCINE nimemripoti mara kadhaa lakini sioni mkimshughulikia .

Ni bingwa wa matusi humu jukwaani.
Nadhani hua wanaangalia mzani umekaaje km umemuanza au mmeanza hapo lazima wabalance mzani sio wanatoa adhabu tu

Kuna watu humu ni mabingwa wa kuwaanza wenzao halafu akiona vipi anatoa report, Napenda mijadala yenye tija km tunajadiliana jambo fulani basi tufikie muafaka

Ninafikiri kwamba Mods kabla hawajachukua maamuzi ya kutoa adhabu wanaangalia kilichoendelea ni nini nani kamuanza nani na nini kimetokea kabla ya kuripotiwa ndio wanakuja kutoa maamuzi,

Sometimes unakuta wewe unamuanza mwenyewe mtu vibaya halafu aki-react vibaya unaenda kum-report maana ya report ni km Max alivyoeleza wakikuta kuna maelezo yasiyokua na afya yanafutwa km kuna hatua nyingine za kinidhamu kwa member zitafuata kwa kuangalia na uzito wa kosa,

Niwe mkweli Mimi hata unifanye nini sina kawaida ya ku-report mtu niwe tu mkweli na muwazi unajua kwanini? kwa sababu najua nikireport nitakaem-report atafungiwa kutumia JF kwa muda fulani na mimi nikiangalia michango yake naihitaji; yaan sitaki afungiwe.

Na pia, hata kama tumekosana leo ninajua humu tunavyoishi tunaweza tukakosana leo kwenye uzi huu kesho tunacheka wote pamoja kwenye uzi mwingine unaweza kushangaa kwamba ni sisi sisi ambao jana hatukua vizuri tukapishana kimtazamo.

Kwa hiyo inatokea tu siku hio tumepishana vibaya basi lakini sio kwamba inakua kitu kibaya, sometimes nikiona mtu nimemuudhi naona ni vizuri kumuacha au kumwambia apunguze hasira zisizo na faida then namezea tu kiutu uzima au nikiona imezidi sana hua nabonyeza IGNORE then basi nakua na amani zaidi
 
Malalamiko ya nini?

Kama mtu hawezi kuhimili mikikimiki ya humu ajitoe tu.

Tabia gani hii ya members kulalamikiana, kama member hawezi kujibu hoja atoke tu kuliko kuumia na kuwa na chuki zisizoeleweka unayemchukia ni nani?
 
Hapa ukija na matusi, lugha ngumu utakalishwa chini na utaacha matusi kwa lazima. Mambo ya kuwekana ignore it's nonsense
 
Tuko pamoja Kiongozi wetu....
 
Huyo GENTAMYCINE nadhani atakuwa na shida kwenye malezi yake.

Dogo anapenda sana lugha chafu , sijui ndio yupo kwenye foolish age.
 
Mkuu,

Si mimi, yaani hata uniite MFIA DINI sina shida, naitetea haki yako ya kunifikiria upendavyo.

Umma ukiripoti kwa wingi kuwa unawakwaza, hatuna namna ya kulipitia bandiko
Ili ifike mara ngapi ndipo mchukue hatua?
 
Kwenye post tano utakazokutana nazo za huyo jamaa, basi moja lazima iwe matusi.
 
ivi inawezekana mtu akiniripoti na mimi nipate hiyo taarifa meku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…