Shirikisho kuna timu za mchongo sana, hawa Real Bamako tofauti yao na Mbeya city ni ushiriki wa shirikisho tu

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Tembea uyaone, huku shirikisho ambapo Yanga yupo ni yeye tu ashindwe kupita lakini timu za huku ni za mchongo kama hawa Bamako ni timu ya kawaida mno hata jezi zao zina akisi ninachokisema.

Yanga wakishashindwa kuwafunga hawa Mbeya City wa mali basi ligi yetu itakuwa ni dhaifu mno

Yanga kapata kundi kitonga sana akishindwa kutoboa mwaka huu basi atasubiri sana.
 
Hawa Mliocheza nao Jana SI ndo igefu ya bongo. Sio wa mchongo
 
Unaumia ukiwa wapi wewe kilaza, basi tulinganishe Real bamako na vipers mliocheza nao mkapata kigoli cha papatu papatu, Au tuwape hao bamako tuone mnawafunga goli ngapi
 
Ajabu timu inacheza hata mashabiki wa nyumbani kwao hawaendi kutazama mpira, majukwaa meupee.

Halafu eti mnawafunga hawa mnashangilia[emoji1787][emoji1787]
Simba imecheza na Mashabiki full house na katandikwa Kwa Mkapa, Kule mmecheza na Horoya wakiwa na Mashabiki Hamsini tu na wamewatandika.
Mpira ni uwekezaji auchezwi mdomoni.
 
Ajabu timu inacheza hata mashabiki wa nyumbani kwao hawaendi kutazama mpira, majukwaa meupee.

Halafu eti mnawafunga hawa mnashangilia[emoji1787][emoji1787]
Kwani mlivyocheza full house na Raja mashabiki waliwafungia goli ngapi labda? Kikosi chako kama ni kibovu ni kibovu tu ata uwanja ukijaa mashabiki wa nchi nzima unapigika tu kama mlivyopigika upo apo,
 
Jamaa ni weupe sana,Mazembe wamekuwa wazembe kabisa yani kundi jepesi sana wakishindwa kusonga mbele sijui ni lini tena wataweze bahati ya mtende kabisa hii kwa Yanga.
 
Jamaa ni weupe sana,Mazembe wamekuwa wazembe kabisa yani kundi jepesi sana wakishindwa kusonga mbele sijui ni lini tena wataweze bahati ya mtende kabisa hii kwa Yanga.
Vipi kuhusu kundi la vipers ni gumu eti?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…