je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Tembea uyaone, huku shirikisho ambapo Yanga yupo ni yeye tu ashindwe kupita lakini timu za huku ni za mchongo kama hawa Bamako ni timu ya kawaida mno hata jezi zao zina akisi ninachokisema.
Yanga wakishashindwa kuwafunga hawa Mbeya City wa mali basi ligi yetu itakuwa ni dhaifu mno
Yanga kapata kundi kitonga sana akishindwa kutoboa mwaka huu basi atasubiri sana.
Yanga wakishashindwa kuwafunga hawa Mbeya City wa mali basi ligi yetu itakuwa ni dhaifu mno
Yanga kapata kundi kitonga sana akishindwa kutoboa mwaka huu basi atasubiri sana.