Shirikisho la mpira Africa (CAF) limeizawadia Simba sc tuzo ya Mashabiki Bora katika michuano ya African football league

Shirikisho la mpira Africa (CAF) limeizawadia Simba sc tuzo ya Mashabiki Bora katika michuano ya African football league

Vibudu fc
Wanywa supu fc
Masaptasapta fc
Samalekoo...
Sisi ndo Simbaa mashabiki
Hela walopata inawatosha...
 
#AFRIKAKUSINI: MASHABIKI WA SIMBA WAPATA TUZO YA MASHABIKI BORA #AFL   

Klabu ya @SimbaSCTanzania imefanikiwa kupata tuzo ya kuwa na mashabiki bora katika mashindano ya African Football League (#AFL   ) na Tuzo hiyo imechukuliwa na Mwenyekiti wa Bodi, Salim Muhene (Try Again).
======
Mashabiki wenyewe waliletewa mbwa kwenye uwanja wa uhuru mechi dhidi ya namungo wasifanye fujo juzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom