Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Wanajiliwaza tu wakamuulize Mbwaduke mzee wa dataMbumbumbu waache uhuni
Hasibu hii kimahesabu imekaajeSimba ving'ang'anizi. Tujitahidi tufike nusu fainali,la sivyo tutashuka
Shirikisho la soka Africa (CAF) limetoa ratiba ya miamba ya Africa itakayopambana kutafuta mwamba wa Africa ngazi ya vilabu. Vipi chama lako imepangwa dhidi ya mwamba yupi?SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
.
1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
2. Esperance (Tunisia) – 61 points
3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
5. Zamalek (Egypt) – 48 points
6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
7. Simba (Tanzania) – 39 points
8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
.
Chama lako namba ngapi hapo __!![emoji116]
Utopolo ni kama wanafanya harakati za Pimbi View attachment 3069484
Ranking inafanywa kwa misimu mitano sio miaka 10. Zamalek ni bingwa wa CAFCC msimu ulioisha.Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita
Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma
Hawa CAF wamuhujumu GSM anapambana sana [emoji1787][emoji1787]Mwiko nyuma hatupo?tunaandamana
Miamba ni hao wanaosubili kwanza vibonde wapambane round ya kwanzaShirikisho la soka Africa (CAF) limetoa ratiba ya miamba ya Africa itakayopambana kutafuta mwamba wa Africa ngazi ya vilabu. Vipi chama lako imepangwa dhidi ya mwamba yupi?
Utopwise wamejitahidi.Wa tano!😂😂😂SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25
.
1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
2. Esperance (Tunisia) – 61 points
3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
5. Zamalek (Egypt) – 48 points
6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
7. Simba (Tanzania) – 39 points
8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points
.
Chama lako namba ngapi hapo __!![emoji116]
Utopolo ni kama wanafanya harakati za Pimbi View attachment 3069484
Wachomoe jimwiko hilo!🤣🤣🤣🙏Mwiko nyuma hatupo?tunaandamana
Namba tatu.Huoni kwani?🤣🤣🤣Supu fc namba ngapi?
Kwa hiyo watumie akili zako?🤔Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita
Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma
Mabingwa wa kombe la shirikisho barani afrika msimu uliopita unasemaje kua wamejifia unalijua soka kweli wewe?Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita
Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma