Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui kitu omba uelekezwe, utopolo walijikusanyia vipoint vyao ambavyo haviwasaidii kuingia nda i ya top 10,Bahati nzuri hizi rank ni za miaka mitano sasa zitakapoanzia ule mwaka Yanga alitinga Fainali tusije kusema ni rank fake [emoji12][emoji1787]
Ilikuwaje mkawa wa 72?Hata na hivyo Yanga wamehitahidi sana, kutoka nafasi ya 72 mpaka 11 ndani ya miaka miwili! Amevuna alama 32 alama 7 tu chini ya Simba. Nadhani mwaka huu itaingia top 5
Itakuwa Haji Manara alimpanga aongee hivi sio bure.Na huyu naskia ndio mnamuita mwalimu wenu.
Nataka nijue shule yake ili nisije kujichanganya nikampeleka mtoto kwenye hiyo shule akaambulia ujinga.
View attachment 3070007
Duuuh umevuta bangi ya wapi wewe? Unazani bila ile fainali ungekuwa na points 32?Bahati nzuri hizi rank ni za miaka mitano sasa zitakapoanzia ule mwaka Yanga alitinga Fainali tusije kusema ni rank fake [emoji12][emoji1787]
Uyo utopwinyo anafwatilia mpila kweliRanking inafanywa kwa misimu mitano sio miaka 10. Zamalek ni bingwa wa CAFCC msimu ulioisha.
Heeee 😄 😄 😄Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita
Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma
Batiki og anapindua meza ya ranking kibabe kabisa.Kwani CAF hawajaona batiki og? Ubunifu ule ni wa kutuingiza top 5.