Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

Shirikisho la soka Africa (CAF) limetoa ratiba ya miamba ya Africa itakayopambana kutafuta mwamba wa Africa ngazi ya vilabu. Vipi chama lako imepangwa dhidi ya mwamba yupi?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita

Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma
Sio misimu mitano ubora ranks zipangwe kwa msimu uliopita tu. Kwenye iyo list hapo ni al ahly na esparance tu wanaweza kutusumbua yanga lakini hao wengine wote tunapiga
 
Mafanikio hewa
 
Sema Kombe la losers
 
Zamalek ilishajifia kitambo, huu mfumo wa kufanya ranking kutokana na points ni WA kijinga sana, zamalek anakaa hapo kutakana na mafanikio ya miaka 10 iliyopita

Wafanye wawe wanafanya ranking hata ya misimu mitano nyuma
Ndiyo bingwa wa shirikisho
 
Hata na hivyo Yanga wamehitahidi sana, kutoka nafasi ya 72 mpaka 11 ndani ya miaka miwili! Amevuna alama 32 alama 7 tu chini ya Simba. Nadhani mwaka huu itaingia top 5
 
Tatizo la mbumbumbu ni empty brain mliyonayo, amjishughulishi kufikiria Wala kufanya research kujua izo rank zinapangwaje!
Rank za caf zinatolewa kwa mafanikio ya miaka 5 nyuma na kwa alama ulizokusanya kipindi icho na sio current performance ya klabu, ivyo izo alama Simba alizikusanya kipindi anafanya vizuri ndio maana Yuko pale but soon na yanga ataingia apo kwa kishindo kwakuwa Sasa hivi kaweka kibindoni alama 31 ndani ya misimu 2 tu endapo akifika Tena robo fainali msimu huu anaingia top 10, na Simba waendelee kusajili kina jobe wao watashushwa na waendelee kucheza shirikisho wataisoma namba na kichaka Cha kujifariji kitakuwa kimefyekwa pia!
 
Kichaka Cha Makolo Sasa hivi ni Top 10,na hicho soon tunakwenda kukifyeka kama tulivyofeka Cha Robo fainali
 
Itabidi tukate rufaa FIFA... lisikika li jamaa lenye mwiko nyuma likilalama.
 
Soma kwa sauti
Na huyu naskia ndio mnamuita mwalimu wenu.

Nataka nijue shule yake ili nisije kujichanganya nikampeleka mtoto kwenye hiyo shule akaambulia ujinga.


Your browser is not able to display this video.
 
They are deserve hata wakikubali kubadilika hawatapata shida maana wataelewa tatz na itakua rahisi kurekebisha KEEP GOING WITH SIMBA SPORT CLUB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…