Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Status
Not open for further replies.
Mkuu japo mimi shabiki wa Yanga lakini utajiri sio lazima cash tu.
Unakokotoa na assets, brand, n.k.
utazungumzia lile jengo la kibiashara pale msimbazi ;sindio!! unajua fadha yake inakwenda wapi? kama mtu kuwezi kufanya saving, huwezi kuwalipa wachezaji wako mpaka ulielie kwa wafadhili then utasema uana rasilimali?
 
Hawa ndiyo mbumbumbu fc aliyewaita hivyo hakukosea wanaamini habari kama hii.
Hivi unakumbuka Katibu Mkuu wa Cecafa aliwaitaje ninyi Vyura FC? Kama umesahau nitag...!
 
Hongereni kwa kijipa matumaini hewa
 
TP Mazembe kama haipo top 3 hyo list itakuwa imepikwa

mleta mada hujui kama kupika data fake ni kosa la jinai?
Nyinyi ndo ambao mkiambiwa kuwa Manchester inaongoza hamkubali kwa vile mmekariri kwa muda mrefu sana kuwa ni Madrid

Forbes top 20 most valuable football teams.. Manchester united (£2. 86 bn)

Barcelona (£2.82bn)

Real Madrid (£2.77bn)
 
Mbumbumbu ni yule anayeambiwa timu yake ni tajiri wakati haina hata ofisi na yy anakubali

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Acha kuhamisha magoli. Jibu nilivyokuuliza. Au ulikuwa ni kinda kwenye soka wakati ule.. Eti Ofisi hakuna! kwani mkutano wa Simba SC wiki iliyopita ulifanyika wapi?
 
Unaniuliza Kwani hujasoma nilichoandika?
Nyie ni kuwafundisha kwa mifano na maswali mtaelewa tu?.Hivi Wakisema Nchi ya Tanzania Tajiri au maskini unafikiri huwa wanaongelea utajiri wa Wananchi na raslimali zao au utajiri au umaskini wa Magufuli.Na pili utajiri wa Taasis sio vitu tu bali na watu.Sasa AZAM tofauti ya uwanja na Basi ni kitu gani zaidi wanacho.Mashabiki wao ni mbwiga na wafanyakazi wao.Na kama hujui hata huyo BARHESA ni shabiki wa Simba. Kinachokuchanganya ni kufananisha Utajiri wa TAASISI na MTU.Unafananisha AZAM na BARHESA,Kwa mawazo yako Timu ya AZAM ndio inamiliki meli, TV,RADIO na Viwanda. AZAM kama TIMU na TAASISI inayojitegemea bado sana kuzifika SIMBA au TIMU ya wananchi kama YANGA na Mzee wao AKILIMALI. Ndio maana SIMBA ipo juu ya TP MAZEMBE kwani hawajaangalia utajiri wa MOISE KATUMBI bali wa TP MAZEMBE Kama Taasisi inayojitegemea
 
hivi kama napanga nyumba ila nina uwezo na hela ya kujenga hiyo nyumba ila bado sijaamua tu lini nijenge utaniita maskini.kuna watu wanapanga nyumba ila wana hela kuliko baba mwenye nyumba.
Tajiri ni TIMU YA AZAM au ni BARHESA
 
Kama ni kweli basi Africa hii hakuna mpira na mpira haulipi
 
Japo mimi ni mwana msimbazi lakini akili yangu imeshindwa kung’amua huo utajiri wa klabu yangu pendwa.........
 
Shenzi kabisa yan azam na simba wenye utajiri simba nyoooooooo tafiti za kupikwa hizi waende huko utajiri my foot msiiiiiiieeew
 
timu yake ni tajiri wakati haina hata ofisi na yy anakubali

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Fikra zako butu kama za CCM, wanadai Chadema na Cuf hawana Ofisi ilhali kukitokea mkutano na waandishi wa habari wao ndo wa kwanza kufika kuona kitaongelewa nini leo hapa Makao Makuu.

Kwahivyo tukiwa na mkutano huwa tunaenda pale bwawani FC kuongea na wanahabari?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…