Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Status
Not open for further replies.
Nyie ni kuwafundisha kwa mifano na maswali mtaelewa tu?.Hivi Wakisema Nchi ya Tanzania Tajiri au maskini unafikiri huwa wanaongelea utajiri wa Wananchi na raslimali zao na sio utajiri au umaskini wa Magufuli.Na pili utajiri wa Taasis sio vitu tu bali na watu.Sasa AZAM tofauti ya uwanja na Basi ni kitu gani zaidi wanacho.Mashabikiwao ni mbwiga na wafanyakazi wao.Kinachokuchanganya ni kufananisha Utajiri wa TAASISI na TIMU.AZAM na BARHESA, MANJI na YANGA(Yanga ni Tajiri kwasababu Manji ni Tajiri au)
Umekimbilia kipengele kimoja kingine umeacha.

Nimekuuliza. Kwa hiyo unataka kusema Simba ni tajiri kuliko tp mazembe? Jibu ni jepesi tu, ndio au hapana.ila wewe hujataka kujibu.

Mimi sio shabiki wa azam ila kwa mtazamo wangu naona azam ndio club tajiri.

Wana kiwanja chao kinachowaingizia Mapato.
Wanawadhamini wengi.
Wana miradi mingi.
Mmliki ni tajiri.
Mashabiki tu ndio wachache.
Lakini je,Unajua mmliki kawekeza kiasi gani pale? Au kwa kuwa hajitangazi. Pengine ni pungufu kidogo, au zaidi ya za mo? Hatujui.

Zaidi ya wingi wa mashabiki na pesa alizoweka mo.sasa hivi nini Simba au yanga wanazidi azam katika utajiri wa rasilimali na pesa?
 
Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki

Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Nawaona chura mnavyoruka ruka, punguzeni chuki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kama mpira haulipi waulize KABURU na MWENZAKE wanaohusishwa na kuchota dola laki tatu za SIMBA au uliza Timu inatoa hela wapi za kambi na vyakula.wanalala LODGE za bei ya chini 50,000 na wanakienda nje dola 200 kwa chumba na nauli si chini ya dola 500 na wanaenda wachezaji wote na viongozi bila shida.Timu zina hela ndio maana wanagombea madaraka
Kama ni kweli basi Africa hii hakuna mpira na mpira haulipi
 
Nawaona chura mnavyoruka ruka, punguzeni chuki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TIMU INAONGOZWA NA AKILIMALI CAF HAIWAFAHAMU! WACHEZAJI HAWAJALIPWA MSHAHARA MPAKA MECHI YA SIMBA WAKIPATA KIINGILIO NDIO WALIPE MISHAHARA
 
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.

Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.

Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa na Esperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.

Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.

Klabu tajiri zaidi Barani Afrika View attachment 712984

Chanzo: MwanaspotiApp
Halafu hii alama(€) sio paundi ni yuro.
 
Umekimbilia kipengele kimoja kingine umeacha.

Nimekuuliza. Kwa hiyo unataka kusema Simba ni tajiri kuliko tp mazembe? Jibu ni jepesi tu, ndio au hapana.ila wewe hujataka kujibu.

Mimi sio shabiki wa azam ila kwa mtazamo wangu naona azam ndio club tajiri.

Wana kiwanja chao kinachowaingizia Mapato.
Wanawadhamini wengi.
Wana miradi mingi.
Mmliki ni tajiri.
Mashabiki tu ndio wachache.
Lakini je,Unajua mmliki kawekeza kiasi gani pale? Au kwa kuwa hajitangazi. Pengine ni pungufu kidogo, au zaidi ya za mo? Hatujui.

Zaidi ya wingi wa mashabiki na pesa alizoweka mo.sasa hivi nini Simba au yanga wanazidi azam katika utajiri wa rasilimali na pesa?
Hao jamaa watakuumiza kichwa bure, hawana hata ofisi yenye fenicha wanajiita matajiri, mfano timu anayocheza Msuva ina uwanja wake,viwanja vitatu vya mazoezi, hostel na wadhamini kibao lkn hawa bi hindu fc wanakomaa wao ni matajiri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu, ni wakuwaacha tu!
 
MBONA MR NICE ALIKUWA TAJIRI KULIKO WASANII WOTE LAKINI HKUWA NA NYUMBA NZURI NA DR SHIKA JE? KUPANGA NI KUCHAGUA!
Hao jamaa watakuumiza kichwa bure, hawana hata ofisi yenye fenicha wanajiita matajiri, mfano timu anayocheza Msuva ina uwanja wake,viwanja vitatu vya mazoezi, hostel na wadhamini kibao lkn hawa bi hindu fc wanakomaa wao ni matajiri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa watakuumiza kichwa bure, hawana hata ofisi yenye fenicha wanajiita matajiri, mfano timu anayocheza Msuva ina uwanja wake,viwanja vitatu vya mazoezi, hostel na wadhamini kibao lkn hawa bi hindu fc wanakomaa wao ni matajiri.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hivi we unataka ujibiwe ki namna gani? Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.

Haya umeng'ang'ana na Ofisi tu, hiyo hapo chini ni nini?
IMG_20180313_102514_667.jpg
 
AC Milan na Inter Milan zina utajiri mkubwa lakini hazina viwanja, hivyo kiwanja si kigezo kikubwa cha kupimia utajiri wa klabu. Kuna timu zingine ukiodoa mapato ya viingilio vyanzo vingine vya mapato havijulikani, hivyo kwa nje unaweza kujua timu ni tajiri kumbe choka mbaya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom