Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Umekimbilia kipengele kimoja kingine umeacha.Nyie ni kuwafundisha kwa mifano na maswali mtaelewa tu?.Hivi Wakisema Nchi ya Tanzania Tajiri au maskini unafikiri huwa wanaongelea utajiri wa Wananchi na raslimali zao na sio utajiri au umaskini wa Magufuli.Na pili utajiri wa Taasis sio vitu tu bali na watu.Sasa AZAM tofauti ya uwanja na Basi ni kitu gani zaidi wanacho.Mashabikiwao ni mbwiga na wafanyakazi wao.Kinachokuchanganya ni kufananisha Utajiri wa TAASISI na TIMU.AZAM na BARHESA, MANJI na YANGA(Yanga ni Tajiri kwasababu Manji ni Tajiri au)
Nimekuuliza. Kwa hiyo unataka kusema Simba ni tajiri kuliko tp mazembe? Jibu ni jepesi tu, ndio au hapana.ila wewe hujataka kujibu.
Mimi sio shabiki wa azam ila kwa mtazamo wangu naona azam ndio club tajiri.
Wana kiwanja chao kinachowaingizia Mapato.
Wanawadhamini wengi.
Wana miradi mingi.
Mmliki ni tajiri.
Mashabiki tu ndio wachache.
Lakini je,Unajua mmliki kawekeza kiasi gani pale? Au kwa kuwa hajitangazi. Pengine ni pungufu kidogo, au zaidi ya za mo? Hatujui.
Zaidi ya wingi wa mashabiki na pesa alizoweka mo.sasa hivi nini Simba au yanga wanazidi azam katika utajiri wa rasilimali na pesa?