Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Shirikisho la Soka Afrika CAF yataja Klabu ya Simba SC nafasi ya 5 kwa utajiri Barani Afrika

Status
Not open for further replies.
Sasa simba ina brand gani

Klabu kama wydad Casablanca inachukua makombe ya CAF kila siku ina ,inacheza club world cup na wakina Madrid kila mwaka ,ina sponsors wengi ,wachezaji ghali na maarufu ,klabu inajulikana duniani kote mechi zao zina audience nyingi ...kits zao wanauza kwa wingi nk

Simba ina brand gani hao sponsors wenyewe ndio mwaka huu angalau wamepata Sports pesa ,

Simba ina brand kubwa kuliko wydad Casablanc??


Vichekesho hivi

Nimeuliza swali dogo tu Maelezo meeengi Halafu yote hayajibu swali

Unajua determinants za ku value brand ya Timu?
 
Yaani ulaya hiyo hela haitoshi hata usajili wa wachezaji wawili. Sijui ya mwisho ina utajiri wa tsh mia ngapi
 
Naona wakina Manara washaona Ubingwa wa Bara hawaupati wameamua sasa kuja na hili ili kuwapumbaza Mambumbumbu wao ili wapate kitu cha kujisifia msimu huu.
Mkuu haya majamaa ni mambumbumbu kweli yanadanganywa kijinga yanakubali, hebu yaulize rufaa yao Fifa vp, wameanza kusahaulishwa ubingwa kimtindo.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kweli club za afrika ni masikini sana mpaka simba inaonek0an0a tajiri.
Uwanja wake unathamani gani.
Jengo billion ngapi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom