Sasa simba ina brand gani
Klabu kama wydad Casablanca inachukua makombe ya CAF kila siku ina ,inacheza club world cup na wakina Madrid kila mwaka ,ina sponsors wengi ,wachezaji ghali na maarufu ,klabu inajulikana duniani kote mechi zao zina audience nyingi ...kits zao wanauza kwa wingi nk
Simba ina brand gani hao sponsors wenyewe ndio mwaka huu angalau wamepata Sports pesa ,
Simba ina brand kubwa kuliko wydad Casablanc??
Vichekesho hivi
Nimeuliza swali dogo tu Maelezo meeengi Halafu yote hayajibu swali
Unajua determinants za ku value brand ya Timu?