Shirikisho la soka barani Afrika kuweni macho mechi ya Taifa Stars vs Uganda

Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mchawi wa kwanza wa maendeleo barani Afrika ni mtu mweusi mweusi mwenyewe

Happiness is a lifestyle
 
Iwe mechi hii ina siasa au kujuana kwa marais hawa wawili haijalishi iwe kuna hongo au sijui eti taifa star ikishinda itaonekana CCM imeboresha michezo who cares dogo tunachotaka ni ushindi yani what click in ur mind ni ujinga uliooza, we dogo acha uchawi

Happiness is a lifestyle
 
Kama kuwa Mpinzani Tanzania ni hivi basi bora niwe neutral. kwani taifa staff wakifuzu na hao ccm wakapewa sifa kuna shida gani? kwani wakishinda Rais magufuli akapewa sifa kuna shida gani? I dont care whether we parise Chadema, ccm, Cuf or whatever hell what I care is we make history.

Bwana Makonda ongeza kuhamasisha, tunahitaji ushindi wa taifa stars hayo mengine tupa kule
 
Mbona squirtinator umefuta post yako, Wazolee alisema,
Ni upuzi tu uliopo hapo Lesotho akishinda mechi yake Tanzania hata ishinde goli 10 haiendi kokote

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukamjibu hivi,
Mkuu, sio lazima kulazimisha kushanikia mchezo ambao hauujui. Pambana na netboli yako.
View attachment 1051125.
Mimi nikakuelewesha hivi...

Wewe ndiyo hujui wakilingana point wanaangalia head to head match results.
Jifunze usiwe una crush wenzako kama huna hoja, ona sasa imekulazimu kudelete post yako.
 
Huna uzalendo wowote! unatumika na mabeberu
 
The issue ni kuwa tukiruhusu siasa ziingie mpirani tutaharibu, hata kama leo tukishinda huko mbeleni tutapata tabu sana kwenye soka, first eleven itakuwa inapangwa na kina Makonda au inapangiwa ofisi ndogo ya Lumumba kocha anakuja kukabidhiwa list tu.
 
Kwa hiyo hata simba alihonga au hata stars kule uganda walihonga ili wapate sare.
Huna hoja nzuri.Uganda ni wazuri sana lakini game kama hiyo stars nao wako vizuri.
Nahisi pia utakuwa siyo mbongo wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Washinde tupunguziwe bei ya bia kwa muda wa masaa sita tulewe mpaka tutambae.
 
Mpira unachezwa sana nje ya uwanja kuliko dakika tisini za uwanjani.

Kalaga baho.
 
yeah mtoa hoja unaonekana unawaamini sana hawa CAF wakati wao ndio wapenda rushwa kupita kiasi,ngoja nikupe mfano hai mmoja uliotokea wakati huu,Cameroun wanaondolewa kuandaa fainal za mataifa na Misri wanapewa wakati maandalizi yao na uwezo wao haufikii na nusu ya SA,ANGALIA UPANGAJI WA ROBO FAINAL ZA VILABU ,vilabu vya soka vyote kutoka north Africa vitacheza mechi za marudioano nyumbani(hii kwa Africa ni advantage kubwa,achilia hii game ya samba na tp mazembe zingine zote kwa vilabu chini ya sahara vitamalizia second round ugenini na sioni vikifanikiwa hapa)ni wakati wa nchi zilizo chini ya jangwa la sahara kudai haki zaidi kuliko nchi za north Africa .
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…