Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,141
- 1,982
Nina hakika Lesotho itashinda. Hii itazima kiherehere cha wanasiasa kuteka kila jambo kwa faida yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga akinyamaza uhesabiwa hekima.Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe mechi hii ina siasa au kujuana kwa marais hawa wawili haijalishi iwe kuna hongo au sijui eti taifa star ikishinda itaonekana CCM imeboresha michezo who cares dogo tunachotaka ni ushindi yani what click in ur mind ni ujinga uliooza, we dogo acha uchawiNdugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ukamjibu hivi,Ni upuzi tu uliopo hapo Lesotho akishinda mechi yake Tanzania hata ishinde goli 10 haiendi kokote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikakuelewesha hivi...Mkuu, sio lazima kulazimisha kushanikia mchezo ambao hauujui. Pambana na netboli yako.
View attachment 1051125.
Jifunze usiwe una crush wenzako kama huna hoja, ona sasa imekulazimu kudelete post yako.Wewe ndiyo hujui wakilingana point wanaangalia head to head match results.
Huna uzalendo wowote! unatumika na mabeberuNdugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
The issue ni kuwa tukiruhusu siasa ziingie mpirani tutaharibu, hata kama leo tukishinda huko mbeleni tutapata tabu sana kwenye soka, first eleven itakuwa inapangwa na kina Makonda au inapangiwa ofisi ndogo ya Lumumba kocha anakuja kukabidhiwa list tu.Kama kuwa Mpinzani Tanzania ni hivi basi bora niwe neutral. kwani taifa staff wakifuzu na hao ccm wakapewa sifa kuna shida gani? kwani wakishinda Rais magufuli akapewa sifa kuna shida gani? I dont care whether we parise Chadema, ccm, Cuf or whatever hell what I care is we make history.
Bwana Makonda ongeza kuhamasisha, tunahitaji ushindi wa taifa stars hayo mengine tupa kule
Angalia isije kuwa zako ndio zimeharibika.Hivi kumbe vyama vya upinzani vimeharibu akili za baadhi ya watu kiasi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira unachezwa sana nje ya uwanja kuliko dakika tisini za uwanjani.Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu watanzania,

Sent using Jamii Forums mobile app[/QU
BAVICHA kapime mkojo,wewe ndo umeleta siasa kwenye suala hili kwa chuki zako