Shirikisho la soka barani Afrika kuweni macho mechi ya Taifa Stars vs Uganda

Swelana

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
418
Reaction score
1,259
Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;

1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.

2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.

3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.

Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.

Swelana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasiwasi na mechi hii inaweza kusababisha Tanzania kufungiwa kucheza soka.
Kwa hiyo mnashaurije? Tusicheze nao au!
 
Watanzania sijui nani katulaani, mleta mada hebu jitafakari na ulichokileta hapa. Yaani hata vijana wetu wa Taifa Stars wakifanya jitihada na wakashinda, itakuwa umeshawaharibia jitihada yao, kwa kuichanganya na uchochezi wako wa ushabiki wa kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uchochezi gani wa kisiasa hapo au kwa vile mechi imeingiliwa na wanasiasa.
 
Soma vizuri qualifications za CAF, usikurupuke. Hiyo goal difference ya -2 na -4 haitatumika hapa. Wanatumia goal difference ya Head to Head kati ya Tz na Lesotho ikitokea zote mbili zimeshinda jumapili. Lesotho ali shinda kwao 1-0, ila hapa akatoa 1-1. Piga goal difference hapo uone nani anapita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekujibu kulingana na ulivyomjibu aliyesema Lesotho wakishinda hata stars washinde 10 hawaendi which is true.
Wapo group moja, matokeo yao eidha lesotho au cape verde yanaathiri kundi pia kulingana na matokeo ya stars hivyo huwezi ongelea lesotho kushinda alafu uache possibility ya kushinda ya cape verde anayecheza na lesotho.
Nimefikiria nje ya box zaidi ya wewe.
 
Issue ilikuwa endapo watalingana points nani ataendelea. Nafikiri umeshaelewa.
 
Unafahamu hata kama ni rushwa unavyosema safar hii haitapitia kwa marefa mzee
 
Mzee baba ata kama una chuki na Rais Magufuli na Serikali basi kausha kwanza. Kwa hizi chuki zako ipi siku utakufa njaa kwa kuhisi Rais Mgufuli anakuona.

Back
Top Bottom