crome20
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 1,193
- 810
Umeambiwa rushwaaaaTulia mkuu!
Fitna nayo ni sehemu ya mchezo!
Kikubwa tufuzu tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa rushwaaaaTulia mkuu!
Fitna nayo ni sehemu ya mchezo!
Kikubwa tufuzu tu...
Kama kweli wao ni Wazee wa figusi wakaicheze ile ya Lesotho ambayo ndio muhimu Sana kuliko hii ya Uganda.Hii mechi Serikali walivyoishikia kidedea huenda imeshachezwa nje ya uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wooote mmekuwa kama AmberRutty nchi itafikia Uchumi wa Viwanda kweli kwa mabwabwa kama wewe??Ndugu watanzania,
Ninaliomba shirikisho la soko barani africa kuitupia macho mechi kati ya Taifa stars vs uganda kwani kuna viashiria vya rushwa katika mechi hii,
Ninasema hivi kwa sababu kuu zifuatazo;
1.Uganda tayari imeshafuzu hata kama ikifungwa mechi hii kwa hiyo wanacheza mechi hii kama kukamilisha ratiba yao na pia wao wana uwezo wa kumbeba wamtakaye kutokana na wao kufuzu mapema kabla ya mechi hii.
2.Kwa jinsi mechi hii inavyotangazwa kisiasa inaonesha kunaweza kuwepo kwa makubaliano ili uganda waichie tanzania ipite ili ionekane tanzania kuweka historia ktk kipindi hiki cha magufuli ionekane kuwa ccm imeimarisha michezo na hatimaye imeandikwa historia kumbukeni mechi ya simba kufuzu hatua ya makundi tayari wao ccm wameieneza km sehemu yao ya kampeni sababu kwa sasa ccm hawana sera hivyo kazima watapetape.
Ndio maana TFF wakaingiza siasa kwenye mpira kwa kuanza na sakata la tundu lisu na baadae kuona makonda anafaa uhamasishaji timu ya taifa hizo zote ni siasa tu.
3.Ya mwisho ni kuona kwa jinsi gani maraisi wawili wanavyoweza kusaidiana kwenye hili ikizingatiwa ni marafiki na wote wanapenda sifa,wenye akili wameniekewa.
Cha msingi ninawaomba CAF waiangalie mechi hii kwa makini wakianzia kwenye maandalizi ya mechi hiyo.
Yangu ni hayo mimi ni mzalendo na ninapenda haki.
Swelana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana Yanga BUANA! Husda mpaka huku!????Ndugu watanzania,

Mkuu yanatimia hukuNdugu watanzania,

. Kusonga mbele stars pia kunategemea matokeo ya Lesotho, hivo nako Tanzania itahonga? Hujiamini.Ndugu watanzania,

AibuKama kweli wao ni Wazee wa figusi wakaicheze ile ya Lesotho ambayo ndio muhimu Sana kuliko hii ya Uganda.
Sent using Jamii Forums mobile app