Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemfungia Rais wa Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano

Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemfungia Rais wa Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano

Waafrika tuna shida sana.
Kwanini ukimbilie kusema africa tuna shida sana!? Unadhani WADHUNGU hawana skendo km hizo, nafsi zoote zimeumbwa na tamaa(uchu) tofauti yetu ni katika kujiconrtol.. Sepp blater mwenyewe alikumbwa na kashfa kama hizo.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom