makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kwanini ukimbilie kusema africa tuna shida sana!? Unadhani WADHUNGU hawana skendo km hizo, nafsi zoote zimeumbwa na tamaa(uchu) tofauti yetu ni katika kujiconrtol.. Sepp blater mwenyewe alikumbwa na kashfa kama hizo.Waafrika tuna shida sana.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app