Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Shirikisho: Simba SC 1-2 Coastal Union

Poa sana. Waliniudhi match ya yanga Vs al ahly. Waliwazomea yanga,walishangilia sana timu ya waarabu. Yanga atakuwa bingwa VPL + FA cup. Tutabeba ndoo zote 2. Tutachagua FA tumpe nani!!(sijui kama ndo hivyo)
 
Unauliza jibu tena
Simba hawapo serious kabisa na mambo yao.Ni wa hovyo kuanzia uongozi,kocha na wachezaji.Yaani ingekuwa Simba s.c ni kuku kwa kweli leo ningechinja nimle na wali.Wanajua ubingwa VPL sio wa uhakika then wanafanyia majaribio match muhimu kama ya leo ambayo ingeturuhusu labda kuchukua ubingwa huo ili tuweze kushiriki kombe la shirikisho.Eti kesi anacheza winga namba 7.1st eleven Kiiza hayupo...na sijui yule kipa walimuokota wapi walisikia alikuwa Chelsie basi wakamdaka tu.
 
Nimeambiwa kama bingwa wa vpl alichukua FA mshindi wa pili FA anawakilisha
 
Simba hawapo serious kabisa na mambo yao.Ni wa hovyo kuanzia uongozi,kocha na wachezaji.Yaani ingekuwa Simba s.c ni kuku kwa kweli leo ningechinja nimle na wali.Wanajua ubingwa VPL sio wa uhakika then wanafanyia majaribio match muhimu kama ya leo ambayo ingeturuhusu labda kuchukua ubingwa huo ili tuweze kushiriki kombe la shirikisho.Eti kesi anacheza winga namba 7.1st eleven Kiiza hayupo...na sijui yule kipa walimuokota wapi walisikia alikuwa Chelsie basi wakamdaka tu.
Aisee bora hata zile Enzi za akina dalali timu ilikua inasonga vizur japo pesa zilikua za mchango
 
Malumbano kati ya kocha na wachezaji na migogoro isiyo isha ni chanzo cha matokeo mabovu na asipoangalia hata nafasi ya tatu haigusii kisa kocha kuendekeza migogoro kati yake na wachezaji
 
Aisee bora hata zile Enzi za akina dalali timu ilikua inasonga vizur japo pesa zilikua za mchango
Sijui viongozi wanafanya nini pale,kiukweli inabidi watoke...kama kuna kampeni ya kumtoa Rais wa TFF basi hata viongozi wa Simba wanabidi watoke kwa kampeni hiyohiyo.Tunauza wachezaji wazuri tunaenda kununua wachezaji nje kuja kukaa benchi...Kiongera ni mchezaji wa kawaida hata ndanda tunampata mchezaji wa aina yake.Eti wanashindwa kumnunua mchezaji kutoka Burundi kwa ajili ya bei yake,kwanini tuuze mchezaji mzuri kama mbadala wake hatuwezi kumpata.Hovyo sana hawa viongozi sijapata kuona.Yanga kaenda kununua Zimbabwe na Ivory cost na yenyewe yameenda huko.Sijui ni Nyumbu wa wapi wale...Yaani kuna fundo lipo kooni hapa basi tu.
 
Back
Top Bottom