Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Tusubiri mkuuUbingwa unatua msimbazi wewe hilo halina ubishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri mkuuUbingwa unatua msimbazi wewe hilo halina ubishi
Ubingwa wa vpl yeboyebo aka vyura muusahau..!!!Ndo itakuwa hivyo. Yanga bingwa VPL Azam bingwa FA
Ndiyo walichobaki nacho!Waendelee kuishangilia misri Al ahly
Bingwa atakuwa simba au?Ubingwa wa vpl yeboyebo aka vyura muusahau..!!!
Asante kwa pole mkuu ila ubingwa wetu wa ligi.I see pole sana mtabaki wa matopeni kuwashangilia waarabu hata ndoo hambebi ya VPL
Mnaongoza ligi kwa baiskeli ya mbao. Bingwa ni Yanga. Azam bingwa FA cup.Ubingwa wa vpl yeboyebo aka vyura muusahau..!!!
Unauliza jibu tenaBingwa atakuwa simba au?
Tuombe pumzi na nguvu tuone nini kitatokea Baada ya ligi kuishaUnauliza jibu tena
Simba hawapo serious kabisa na mambo yao.Ni wa hovyo kuanzia uongozi,kocha na wachezaji.Yaani ingekuwa Simba s.c ni kuku kwa kweli leo ningechinja nimle na wali.Wanajua ubingwa VPL sio wa uhakika then wanafanyia majaribio match muhimu kama ya leo ambayo ingeturuhusu labda kuchukua ubingwa huo ili tuweze kushiriki kombe la shirikisho.Eti kesi anacheza winga namba 7.1st eleven Kiiza hayupo...na sijui yule kipa walimuokota wapi walisikia alikuwa Chelsie basi wakamdaka tu.Unauliza jibu tena
Nimeambiwa kama bingwa wa vpl alichukua FA mshindi wa pili FA anawakilishaPoa sana. Waliniudhi match ya yanga Vs al ahly. Waliwazomea yanga,walishangilia sana timu ya waarabu. Yanga atakuwa bingwa VPL + FA cup. Tutabeba ndoo zote 2. Tutachagua FA tumpe nani!!(sijui kama ndo hivyo)
Aisee bora hata zile Enzi za akina dalali timu ilikua inasonga vizur japo pesa zilikua za mchangoSimba hawapo serious kabisa na mambo yao.Ni wa hovyo kuanzia uongozi,kocha na wachezaji.Yaani ingekuwa Simba s.c ni kuku kwa kweli leo ningechinja nimle na wali.Wanajua ubingwa VPL sio wa uhakika then wanafanyia majaribio match muhimu kama ya leo ambayo ingeturuhusu labda kuchukua ubingwa huo ili tuweze kushiriki kombe la shirikisho.Eti kesi anacheza winga namba 7.1st eleven Kiiza hayupo...na sijui yule kipa walimuokota wapi walisikia alikuwa Chelsie basi wakamdaka tu.
Sijui viongozi wanafanya nini pale,kiukweli inabidi watoke...kama kuna kampeni ya kumtoa Rais wa TFF basi hata viongozi wa Simba wanabidi watoke kwa kampeni hiyohiyo.Tunauza wachezaji wazuri tunaenda kununua wachezaji nje kuja kukaa benchi...Kiongera ni mchezaji wa kawaida hata ndanda tunampata mchezaji wa aina yake.Eti wanashindwa kumnunua mchezaji kutoka Burundi kwa ajili ya bei yake,kwanini tuuze mchezaji mzuri kama mbadala wake hatuwezi kumpata.Hovyo sana hawa viongozi sijapata kuona.Yanga kaenda kununua Zimbabwe na Ivory cost na yenyewe yameenda huko.Sijui ni Nyumbu wa wapi wale...Yaani kuna fundo lipo kooni hapa basi tu.Aisee bora hata zile Enzi za akina dalali timu ilikua inasonga vizur japo pesa zilikua za mchango
Simba Kiiza,Wafungaji tafadhali.
Asante kwa pole mkuu ila ubingwa wetu wa ligi.