dalloboy
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 314
- 246
Kitu kimoja ujue maisha ya msanii n tofauti kabisa na maisha ya mtu wa kawaida, wasanii wanakutana na vitu vingi na hasa vibaya (vishawishi, ulimbukeni, tamaa)ukishindwa kuvidhibiti vitu hivi basi mwisho wake huwa mbaya, m naamin hata yeye huyo harmonize kabla hajawa famous cdhani kama aliwahi kufanya upumbafu wa aina hiyo, huko ni kutojitambua na kushindwa kujisimamia, ngoja niishie hapa tu maana,,,,Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.
Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).
Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.