Shishi Baby amlia mingo Raymond wa WCB, Wanyonyana ndimi nje nje

Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.

Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).

Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
Kitu kimoja ujue maisha ya msanii n tofauti kabisa na maisha ya mtu wa kawaida, wasanii wanakutana na vitu vingi na hasa vibaya (vishawishi, ulimbukeni, tamaa)ukishindwa kuvidhibiti vitu hivi basi mwisho wake huwa mbaya, m naamin hata yeye huyo harmonize kabla hajawa famous cdhani kama aliwahi kufanya upumbafu wa aina hiyo, huko ni kutojitambua na kushindwa kujisimamia, ngoja niishie hapa tu maana,,,,
 
  • Thanks
Reactions: 911
Kama ni kweli hongera zao,maana kwa mujibu wa katiba yetu mtu mzima ni yule mwenye umri wa miaka 18+.Muacheni Raymond nae ajipigie,acheni wivu
 
Kitu kimoja ujue maisha ya msanii n tofauti kabisa na maisha ya mtu wa kawaida, wasanii wanakutana na vitu vingi na hasa vibaya (vishawishi, ulimbukeni, tamaa)ukishindwa kuvidhibiti vitu hivi basi mwisho wake huwa mbaya, m naamin hata yeye huyo harmonize kabla hajawa famous cdhani kama aliwahi kufanya upumbafu wa aina hiyo, huko ni kutojitambua na kushindwa kujisimamia, ngoja niishie hapa tu maana,,,,
Unayosema ni kweli tupu ila mama kama mlezi wa karibu wa mtoto kuna aibu yapaswa aziepuke na kukemea..umaarufu wa msanii isiwe chanzo cha kuvunja miiko ya malezi,hata kama mzazi ni maskini na anamtegemea huyo mtoto basi amkanye asimshirikishe kwenye maovu yake.
 
Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.

Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).

Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.
huo ni wivu sasa
 
Meneja wa WCB alisema ''Wasanii wa WCB wanapenda wanawake waliowazidi umri kwa sababu...)

Naskia uwoya mkali, wanasemaga shishi asali
emoji133.png
emoji133.png
#Natafutakiki
emoji133.png

Yule Ngapepe Sukari ya vijana aka Mario ajulikane kama Shishi Baby juzi kwenye party ya kumkaribisha Rich Mavoko kwenye Lebo kubwa ya Muziki Tanzania WCB alionekana kagandana na kijana mdogo Rayvan mzee wa hapa kwetu huku wakipeana milenda milenda ndimi nje bila kujali watu waliopo.

Sasa sijui ilikuwa ni furaha, pombe, mapenzi au ndio mambo ya kiki!!

Kila laheri kijana.

*Mimi sio mwanaume wa Dar, kwetu chips ni mboga ya kurumangia Ugali wa muhogo.

View attachment 354144 View attachment 354145

Mtoa mada acha uwongo na kupotosha watu?? au nawewe ndo unazidi kumtafutia kiki dogo??
Iyo video clip ambayo walikuwa wanaimba,naona wewe umeamua kuscreen shot halafu uje na ubuyu wako humu
 
Iundwe Tume huru ya uchunguzi kuchunguza haya mambo
 
  • Thanks
Reactions: 911
Wakijakushtuka wameachiwa magonjwa,wengine vipaji vimeshuka pesa za show walikopeleka hapajulikani basi stress zake hukimbilia kumalizia kwenye cocaine na bangi mwaka wa kwanza wa pili parapanda inalia.

Nimesoma mahali yule bwana mdogo hamoniz kampeleka bibie kwa wakwe mamaake nae kampokea,najiuliza iko wapi heshima ya mama anayopaswa kupewa na mwanae?(personally,mahusiano yangu kabla sijaoa nilikuwa najitahidi sana mama yangu asijue na hakuwahi hata kuhisi hadi nilipotambulisha mchumba nyumbani).

Mama nae anaruhusu ujinga huo eti anamkaribisha mkwe amejipaka mirangi rangi kichwani.Haihitaji elimu ya darasani kujua kama hawa wanaojiita wapenzi kwa tittle zao hawatokaa waishi maisha yaliyotulia ya ndoa ila mama kijana anashiriki,what a shame.

Aina ya malez na asil wengine tunapaswa kuonwa na wazaz tukiwa na wachumba kuanzia darasa la pili
 
Mimi niliona mama alishutukizwa hakupata muda wa kutafakari maana aliitwa kutamburishwa kwa mashabiki na hayo ya mkubwa mwenzie yakaingizwa hapo hapo, ukiangalia umri wa mama kijana na mpenzi wa kijana ni kama wanalingana tofauti yake huyu ana mirangi rangi kwenye nywele na makorombwezo kibao ndo kinamtofautisha na mama wa kijana, sijuhi kama anamuamkia maana tofauti ya umri ni ndogo sana.

Nina akika baada ya utamburisho waswahili watakuwa walimkosoa mama wa kijana so usishangae akaulizwa leo akaongea tofauti na tunavyomuhukukumu sasa.
 
Hahahaa..na watu hatupendi mazereu...
Mkuu hawa viumbe wana tabu sana, anaweza kukutangazia shoga au una kibamia, kumbe tu lengo lake la kukupa mzigo limeshindikana, cha msingi hapo dogo akacheki kitu cha miwaya kwanza kama furesh ruksa kujipigia
 
Shishi hanaga siri tungeshaona mapicha picha kwa Insta yake.
 
Unayosema ni kweli tupu ila mama kama mlezi wa karibu wa mtoto kuna aibu yapaswa aziepuke na kukemea..umaarufu wa msanii isiwe chanzo cha kuvunja miiko ya malezi,hata kama mzazi ni maskini na anamtegemea huyo mtoto basi amkanye asimshirikishe kwenye maovu yake.
Siku moja nilikuwa natizama kipindi cha uswazi, mtangazaji (Zembwela) alikuwa anatafuta madrasa akaongea na mwalimu kijana kama 20 yrs. Kabla ya kutoka akajitokeza bibi kama miaka 55-60 akaanza kulalamika kuwa mumewe ana wanawake wengi hta chai hanywi nyumbani. Zembela akadhani ni utani, yule bibi kasema huyu ni mme wangu wa ndoa kabisa na majirani wakaafiki. Yule Ustaadhi aliona aibu na akakubali kuwa ni mke wake. Hivyo haya yanayotendeka ni kawaida na ndo maana mama yake Hamonize haoni tatizo ingawa maskini vijana hao wanakwaa magonjwa yawe ya kupitia mkuyati na kupitia midomoni kwa ajili ya kuzama bahari ya hindi.
 
Ukiona mwanaume anaakaa anajadili mahusiano ya kimapenzi ya mwanaume mwenzake ambaye pia ni rijali ma anazaidi ya miaka 18 basi muangalie huyo mwanaume kwa jicho la tatu...
 
Mimi niliona mama alishutukizwa hakupata muda wa kutafakari maana aliitwa kutamburishwa kwa mashabiki na hayo ya mkubwa mwenzie yakaingizwa hapo hapo, ukiangalia umri wa mama kijana na mpenzi wa kijana ni kama wanalingana tofauti yake huyu ana mirangi rangi kwenye nywele na makorombwezo kibao ndo kinamtofautisha na mama wa kijana, sijuhi kama anamuamkia maana tofauti ya umri ni ndogo sana.

Nina akika baada ya utamburisho waswahili watakuwa walimkosoa mama wa kijana so usishangae akaulizwa leo akaongea tofauti na tunavyomuhukukumu sasa.
Anne kilango Malecela na Bill Malecela wametofautiana miaka mitano tu(mama na mtoto).....Jiulize John Malecela ana umri gani

Reginald Mengi kamzidi KLynn miaka mingapi.....the list is endless

Reputable members wengi tu kwenye hii society either wameoa au kuolewa na watu waliowazidi umri and nobody cares.....

You guys are judgemental as f!
 
Hili kundi la wasafi lina nyota ya wema, wameshindwa kumpanta Diamond, wameamua kujiegesha kwa wacheza shoo wake.. nahisi kuna wanao omba kila siku zari na modi waachane ili wawe na mondi kiongozi wa wasafi.
 
Back
Top Bottom