Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

This current generation is a result of all misfortunes and complacency of previous generations, including Shivji's which enforced poisonous Marxist ideologies at school curriculums turning our intellectuals into potential brain-dead zombies, who could have an unquestionable and unyielding loyalty The Party.​
NONSENSE.
You're brain dead, yet you pretend to know something!
 
Angalau walikuwa wanathamini mijadala na hata kama hawakutimiza yote Bali angalau kuliko ilivyo Kwa sasa...Tatizo lilianzia pale JPM alipoweka watu wake vyuo vikuu, Hawa jamaa wamevuruga mpangilio mzima wa vyuo vikuu na kusababisha majungu na makundi ya hovyo ambayo hayajawahi kutokea kwenye academics, wame set precedence ambayo itachukua miaka mingi kurekebishika, wameuwa mijadala Kwa intimidation na censoring ya individuals....Wengi wao ni Wazuri sana wakiji present kama vile wapo humble mbele ya politicians lakini wakigeuka upande wa pili they listen nobody bali Wana act smart yet wana victimize Kila ambaye ana different opinion hata kama ni yakujenga...
That's what they would have you believe. But, really there's never been Intellectual Freedom in Tanzania. Had we been that free, this country would not have such a dumbed-down citizenry.​
 
1. Uko sahihi na tatizo limekuwa hivyo kwenye sekta zote Hadi upinzani huko.

2. Leo hatushindani Kwa hoja kwenye lolote.

3. Suala la Palestina linakuwaje la kishabiki au kidini?

4. Leo tunataka kushindanisha dini? Dini zenye Imani tofauti zinashindanishwa au kubishaniwa vipi?

5. Aina za kina MK254, denoo JG na wenzao ndiyo wametamalaki. Wakute kwenye majukwaa ya Simba na Yanga huko. Arsene Wenger, mtoto mdogo!

6. Tangu lini ushabiki ukachukua hatamu kwenye majidiliano yoyote yanayotarajiwa kuzaa tija?

7. Tangu lini suala la kishabiki likapatiwa ufafanuzi au msimamo mahakamani?

8. Upinzani ndiyo hawa Hawa ambao tofauti yao na Magufuli ni humu kwenye kuonja sumu?

9. Tuko vibaya sana si Afrika Mashariki tu. Bali duniani! Hatuna identity Wala kujulikana tunasimamia Nini. Nani asiyejua Afika kusini wanasimamia Nini?

10. Kuwa Leo mtu anaweza kumbagaza Nyerere, Mandela, Tutu, Castro, Gaddafi, Che Guevara nk?

11. Kwamba Leo JokaKuu, MK254, denoo JG na wenzao wanashangaa kwanini kuongelea Gaza wakati eti Kuna DRC? Au kwanini kusikitika mauaji Gaza ati kuwa Kuna watanzania 2 walikufa?!

12. Hapo #11, hao hao wamesahau kabisa ya Ben Lijenje Azory Mawazo nk na hata wengine wa kwenye viroba ila wao ndiyo wako vizuri na wengine wote ndiyo wajinga!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ogopa sana mtu anayefanya kazi kumridhisha bwana wake pasipokujali jamii pana inayomzunguka...Haijalishi kama ni msomi au mbumbumbu, mtu wa hivyo ni hatari kuliko bomu la petrol; Hawa ndiyo walioleta madhara makubwa zaidi enzi za mwenda zake na Kwa sasa wote ndiyo wanampaka mafuta HE Kwa mgongo wa chupa as if wao ndiyo loyal kwake...

As for me nikishakugundua wewe ni wa jinsi hiyo huwa na chora mstari wa kutochangamana na mtu wa hivyo...

1. Hoja yako hapa inawahusu sana hawa ndugu:

JokaKuu, Retired, Allen Kilewella, denoo JG, MK254, Nanye Go, na wa namna hiyo.

2. Haipo shaka TAL kokote aliko atakuwa anawashangaa sana.

Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

3. Hii nchi haitakombolewa na chawa mbumbumbu au chawa wasomi!

4. Ajabu na kweli wametanguliza ushabiki mbele badala hoja.

Tuna Imani na CHADEMA hii, wala si nyingine

5. Chawa ni chawa tu awe wa CCM au kokote kule aliko. Pia hiyo kama ni kazi, kazi hiyo ni ya Laana!

6. Chawa unashauriana naye wakati yeye yuko kiimani zaidi kama mfia dini?

7. Kitu gani kukielewa hapa?
 
Cc bwana Lucas
IMG_20240505_063119.jpg

😳
 
That's what they would have you believe. But, really there's never been Intellectual Freedom in Tanzania. Had we been that free, this country would not have such a dumbed-down citizenry.​

1. Freedom does not come by itself.

2. Wherever you see it, some brave people sacrificed for it.

3. What have yourself done, doing, or planning to do to see it is also here?

4. Or all that you have is only this lame: "locker room talk?"

5. If #4, is affirmative, don't you think it is high time now to consider be telling such to the birds?
 
Wewe jamaa unaanza kuzingua sasa!

Ni hoja zipi kutoka vyuo vikuu ambazo Nyerere, Mkapa na Jakaya waliwahi kuziheshimu ?

Hebu wacha masikhara mzee.​

1. Mkuu uliangalia ndani ya nyuzi ambatanishwa?

2. Mle yalikuwamo haya ya mfano, ambayo si haba:

(a) UDSM: kudai madaktari kuachiwa huru kutokea gerezani (Mwinyi, Isambe na madaktari muhimbili 1990s?
(b) UDSM: kudai mfumo wa vyama vingi 1990s?

3. Ungeakuwa umejielekeza vyema kwenye nyuzi hizo ungekuwa umeona wakati mwinyi au yule mwingine wa post 2015 wangeita matusi ya nguoni ka Biden, haikuwa hivyo kwa Nyerere, Mkapa au Kikwette.

4. Ni hayo tu ndugu mjumbe.
 
So, these sporadic and isolated incidents of early 90s prove that the Tanzanian Intelligentsia was the one that beat the ruling party into submission, restoring multiparty democracy and acquittal of doctors ?

Are you making a claim that if it wasn't for UDSM, Mwinyi wouldn't have released the doctors and also restore multiparty democracy ?​
 
1. I suppose you think it was very easy and hopefully you could have done more or better!

2. No wonder you are calling sporadic. "Egocentrism at its best!"

3. Did you manage to speak to the victims in what you seem to undermine? Or were part of the goons the students were at the mercy of?

4. Isn't it that you fall into this category?

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote," haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana ila yale ya kwao tu. Kwamba "elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;" havina maana yoyote kwao."

I honestly see you are vividly documented within the below:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

4. BTW, have you seen anyone apart of yourself even attempting to dispute, discredit or disapprove of the mentioned cases? Did you read through to know what it was meat by etc, anywhere? Or here you are, Albert Einstein the great at your best, the special with an invention you being the only and sole god accredited?

5. There's a renown saying for petty minded people like you:

"Mzigo wa mwenziwe, alokosa busara hudhani ni kanda la sufi!"

6. You have the marks of #5, all over you.

7. Couldn't you show some examples of your great achievements may be you can have a flock of admirers?

8. Please only one example in #6 will do, to show your success on really events which aren't at all sporadic!

9. I hope in your reply; #8 will not go without a response.

Back to you mister!
 
A major problem with Tanzanian intellectuals like you, and the acolytes is, first allowing Marxism to shape your understanding of the world, particularly politics, history and economics.

The likes of Prof Shivji, have poisoned generations of students at the Hill, indoctrinating them, that JUCHE could work in Tanzania, enforcing the dictum of the rulling party, UJAMAA & SELF-RELIANCE.

This generation is a failure because of Intellectual parochialism. Mzee Nyerere's government and that after him, limited what students learn at schools. If it's not parroting Marx, Lenin, Mao, Castro, Nyerere, and The Modes of Production then no education.

To build a generation of critical thinkers, you must first allow Total Intellectual Freedom. Allow students to discuss and offend, without facing dire consequences. Allow them to be defiant, allow them to experiment, even the unpopular ideologies.

Meanwhile, in the Soviet Union, they banned liberal arts and everything capitalism, faculties and colleges in the UK and USA were full of Marxist scholars who debated their perspectives without facing consequences.

Tanzanian intellectuals, especially the Marxists from the Hill, UDSM, The Msekwas, The Kadumas, The Luhangas, you name them, failed this country. They turned the Hill, into an incubation center for obedient party Apparatchik, who only viewed the world through spectacles of Marxism.

Tanzania has smart and intelligent people, but unfortunately, they have a very limited scope in seeing the world. This is a Government Induced Selective Ignorance. So when such intellectuals debate, actually they have nothing much to offer.

I'm sorry to burst your bubble, but apart from speaking fancy English Tanzanian intellectuals cannot help this country navigate uncharted waters of current competitive world of capilism.

University education has to teach you defiance, enhance your purview of the world and help you reshape your surroundings. If these three objectives are not reflected within curriculum, then don't blame students.

That's why It's called University, because it comes from a root world "Universe".

Back, at college I was a Marxist, a staunch, Leninist. While my philosophy was applauded, my British Professors advised me to venture into other schools of thoughts and make a final decision, something which I did.

After, intensive study, I still respected Marxism but renounced it. I came to realize how poisonous and subversive it is, especially when it's an only philosophy fed to a younger generation.

Now, I wouldn't stoop low and get into your sophism and personality bashing. I'm simply too old for this. But I can simply tell you my point of view concerning the waves of changes from the 80s and 90s.

First, these protests were not only happening within college campuses. An entire country was swept by a wave of defiance. People were tired of Socialism, Poverty and Petty Dictatorship. A revolution started within The Military, the TISS, and endep up within Political Parties and College Campuses.

Secondly, Mwinyi released the doctors and reintroduced Multi-Partism, because of International pressure. Tanzania was under an Economic Shock Therapy, by the IMF and World Bank. So TZ had to choose between being stiff-necked, lose all the money, and become a pariah, or just act as normal people.

Believe me, if CCM had all the power, they would have crushed the heckling intellectuals at the Hill like bugs. China did this in Tiananmen Square in 1989, by killing hundreds of students.

America did the same to students protesting against a war in Vietnam. The US committed a massacre of innocents in her soil.

Tanzania would have done the same if it wasn't depending on the West for survival.

=======================
Intellectuals like Shivji had debates, but they debates were controlled. We all speak UJAMAA. And it's only okay until when we speak something else, the socialists don't want to hear.

Vladimir Lenin called this tactic, controlled opposition, giving the opponent an illusion that he's really doing something, but in reality it's all airs and graces.

And, No, No, No! Shivji cannot exonerate himself from this. Complaining about a predicament he took part in creating is just hypocritical and intellectual megalomania.

Also trying to make Tanzanian education live to his socialist standards, is simply not possible.

Meanwhile, I would really love to see our young intellectuals take part in changing this country. But, it would hurt me to see that they re-adopt the Nyerere-Shivji-Kaduma Socialist Type of Intellectualism.
 
1. I can't believe you wrote a bunch of trash without a mention of what you were asked politely never to forget addressing:

IMG_20240506_081644.jpg

2. Did you think it was meant for nothing?!

3. To ensure we are on the same page, please attend to #1 first. I am capable of addressing your entire bunch of trash, but the pending issues you are blind of first!

4. Nyerere, Castro, Lenin, Shivji, Maalim Seif, Tutu, Mandela; those aren't of your league buddy:

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

5. Mind you some of those are Nobel laureates. By the way, who are you?

6. For #5 your CV is wanting!

7. Whereas it is humorous to appreciate of others especially those of whom you will never make it to their levels of achievements, it is rather silly to discredit people without a known CV of your own!

8. "I read from you, every other person is stupid, except you."

9. That #8 is and only according to you, with no other reference to that; whatsoever!

10. Sorry to say #8 and #9 combined is obviously the text book definition of "insanity!"

11. A word of hope: "not all types of insanity are incurable."

12. By #11, you may consider to seek for medical attention before it gets too late.
 
Okay, you're right.
 
Yalisemwa na Prof Shivji (9 Apr 2024, SUA, Morogoro) kuhusiana na athari kwa taifa kutokana na kukosekana kwa vijana wenye kukosa hoja na hata uthubutu wa kuhoji:

View attachment 2980411

Kuepuka andiko hili kuwa refu mno na bila kuathiri ufasaha wake, ninalikata andiko hili kuwa katika sehemu mbili; zikiwa ni nyuzi mbili tofauti. Yaani Part 1 (utangulizi), na Main body (Part 2).

Part 1: Tuwajue vijana wasio na Hoja au uthubutu wa kuhoji

1. Hawa ni wale wakijulikana almaarufu kama "chawa;" bila shaka na labda bila kutambua, akiwaita "nabii jiwe" kuwa ni vijana wa hovyo.

2. Vijana wa namna hii, wako kwa wingi zaidi CCM na CHADEMA kwa sasa, ambako mada hii itajikita ili kuweza kuwaangazia vilivyo.

3. Ajabu na kweli fungu hili ni la vijana wasomi kwa mbumbumbu; limesheheni zaidi wanaume wa Dar kuliko wanawake au wanaume wa mikoani kwa ujumla wao.

4. Wasomi kwa mbumbumbu; "chawa wasomi ni wa hovyo zaidi, wakijiongezea kale kakipaji kengine kao, "ka ujuaji:"

"Wajuaji: Hawa huamini kwenye lile tu wanaolijua wao. Wajuzi wa Kila kitu ni wao. Kwamba 'JF ina watu wa kada zote,' haina maana yoyote kwao. Nafasi ya mafikara mapya hawana, ila yale ya kwao tu. Kwamba 'elimu ni bahari, elimu haina mwisho, tembea uone nk;' havina maana yoyote kwao."

5. Kwamba, kwao uchawa ni ajira kama udaktari, uhandisi, ualimu nk; alimradi bora mkono uende kinywani.

6. Kwa mukthadha wa CCM, humo wamo:

i) Chawa wa mama: Hawa huwaambii kitu kumhusu bi mkubwa. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote.
ii) Chawa wa CCM: Hawa huwaambii kitu kuhusu CCM. Hakuna cha kukosoa. Yote ya CCM ni mema.

Hapo ni makundi yao mawili, yaliyo kamili kazini!

7 (a) kwamba kwao Mama ni kama Mungu, malaika, mtakatifu, na vya namna hiyo; CCM kama chama: ilishushwa kutokea mbinguni!
(b) Kwamba Mama, lau CCM ni wakamilifu; wenye kustahiki sifa tu, siyo kukosolewa!
(c) Kulamba teuzi, shuruti mtu kuonyesha umahiri wake zaidi kwenye kuisifia CCM; na zaidi sana kumsifia vilivyo mzaliwa huyu kutokea Kizimkazi, pale!
(d) jaribio la mtu kuikosoa CCM na hasa kumkosoa mama, linatosha kukosa teuzi au kukupa tenguzi kama ni mteuliwa!

8. Kwa mukthadha wa Chadema; wanawakilisha:

a) Chawa wa Mwamba: Hawa nao huwaambii kitu kumhusu mwamba. Wao ni kusifu, kumshukuru na mapambio ya sifa kwa lolote. Mwamba hakosolewi. Kumkosoa mwamba, ni uhaini.
b) Chawa wa CHADEMA: Hawa huwaambii kitu kuhusu CHADEMA. Hiki chama hakikosolewi. Ukiwa na mawazo tofauti, ondoka!

8. (a) Kwamba mwamba ni Mungu, Ayatollah, Abuu Bakar, Messiah, malaika na vya namna hiyo; na kuwa Chadema imeshushwa kutoka mbinguni:
(b) Chadema au mwamba ni wakamilifu, hawakoselewi na mwamba ndiye mwenye neno la mwisho; "mnataka au hamtaki!"
(c) "Jaribio la kumkosoa mwamba ni sawa na kuonja sumu kwa ulimi" -- Frederick Sumaye.

9. Kwa hakika, vijana hawa ni mzigo kwa taifa:

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko

Part 2: Main Body, inafuata:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 2)
Andiko dawa sabili kabisa kwa jamii yetu.
Ni hiyari ya kila mmoja kujipima na kuchukua hatua. Nasema ni HIYARI kwa sababu uchambuzi huu nimeuona ni kama suggestion na siyo lawama.

Ndugu Lucas Mwashambwa jipime
 
1. Kutofautisha ushabiki na hoja nadhani ilikuwa ni muhimu sana Ili Kila kimoja kikaelekezwa kinako belong.

2. Ushabiki, nduguye wa damu ni ushindani wa ubishi; ambao hauna mshindi. Sifa yake kuu ikiwa uwezo wa wa mtu kupiga kelele na kuupepesa mdomo vilivyo tu bila kujali thamani ya anachosema.

3. Hoja husheheneshwa na facts. Hapo ndipo wenye akili zao hujitenga. Mahakamani huko si Kila mtu anaruhusiwa kuweka mguu wake, kusema, kucheka au hata kujishasha kivyake vyake; bali strictly kistaarabu hadi mavalio!

4. Wakati boda boda atabishana kibishi bishi kwenye mambo yao ya Simba na Yanga au fekon pikipiki huko, Msomi atajadili kwa facts zilizofanyiwa tafiti na kuthibitishwa.

5. Nchi haiwezi kukombolewa na wajinga wakiwamo wabishi wabishi Hawa wa Simba na Yanga kama the driving brain:

Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

6. Unaweza kuwa muda muafaka kuelekezana kila mtu anako belong kupisha kupotezwa muda bila tija.

7. Prof. Shivji anajadili nini na bodaboda?! Fekon pikipiki, udini au Simba na Yanga?!

8. Mada hii hapa chini ilikuwa na mtizamo wa kuasa zaidi kwenye minajili hiyo hiyo:

Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima

9. Anakurupika kutokea wapi boda boda aina ya MK254, denoo JG, Mzee Kigogo, @lucas_mwashambwa, imhotep, Allen Kilewella, JokaKuu au wa namna hiyo kumrushia dongo Nyerere, Lissu, Mandela, Shivji au wa namna hiyo na bila hata kutanguliza CV yake tuione kwanza kama anavyo vigezo vya msingi kuweza kupewa forum ya aina yoyote zaidi ya vijiweni vijiweni huko?!
 
Back
Top Bottom