- Thread starter
- #41
mavijana ya siku za leo ni ya hovyo kwelikweli
1. Si kidogo. Kuna jingine huku kama Peaky blinders kama jenzake MK254 na myenzao nimeli refer kwao vijiweni huko.
2. Nabi anajadili ushabiki wa watu wao, vyama vyao, Imani za dini zao? Wengine hatuko huko hayo waelekee kwao vijiweni huko! Uchawa ni laana!
3. Si ya kuonea huruma, huku siyo league yao, wala siyo ndondo!