The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Kabisa, wakae kimasta mno.Wana-Mbeya (machinga na bajaj)muwe makini.Mnaandaliwa balaa la kuwaumiza.Msijibweteke kiboyaboya.
Na bajaji hapo Mbeya ni za baadhi ya afisa wa police, lazima kiwakeBaada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali imeruhusu waendelee na kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ili serikali ikajipange upya.
Hapo inatakiwa umakini wa hali ya juu sana kwa hao wahanga maana kwa sasa ukisema selekali imasalimu kama alivyosema mleta mada ni uwongo kama watu maalufu na waliokuwa na nyazifa kubwa hapa nchini hawajulikani walipo wajiandae kisaikolojiaLilikuwa ni SUALA ya muda tu..RC hakufikiria vizuri
Mbeya ni hatari sana ,nakumbuka mtiti wa nyuma alikuja kuutuliza SUGU baada ya mapambano makali ya serikali na wamachinga.Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali imeruhusu waendelee na kazi zao kama ilivyokuwa mwanzo ili serikali ikajipange upya.
Watamuita tena 😀Mbeya ni hatari sana ,nakumbuka mtiti wa nyuma alikuja kuutuliza SUGU baada ya mapambano makali ya serikali na wamachinga.