Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

Sho Madjozi: Msanii kutoka South Africa anae zungumza kiswahili kwa ufasaha

Amesoma TZ amekaa TZ miaka 10, Kuanzia ana miaka 16 hadi miaka 26 alikuwa anaishi Bongo.
Ahaa basi ndio.maana ila wazazi wake wote ni wasauzi? Walikuwa bongo kikazi?
 
Sasa unaona fahari kutumia Kiswahili,
Unasifu Kiswahili kwa kutumia kingereza?

Halafu mbona sioni uhusiano kati ya kichwa cha uzi na uzi wenyewe!

Kiingereza kwangu ni kama kiswahili tu.
 
Am so proud of my language Kiswahili. We must promote kiswahili .

Kiswahili the language of Africa.
Usichokijua watu wengi wageni kutoka nje wakija Tanzania wanapenda kuongea na kujifunza Kiswahili especially Kiswahili cha mtaani yaan Mambo, Niambie boss, Habari Tajiri, nk wana-enjoy sana kujimix wakizungumza Kiswahili maana wanakua pamoja nasi na wanahisi wengi wetu wabongo Kingereza matatizo so wao wanajitahidi kukijua Kiswahili kwa kasi sana ili tuweze kwenda sawa katika kuwasiliana kwa lugha hio and I'm telling you wengi ndani ya miezi 3/4 wanakua tayari wameshakijua maana Kiswahili sio kigumu hivyo kushika maneno yake haraka haraka kwa ufasaha na kuyatamka pia hayana shida yanaeleweka kwa haraka
 
Amekulia bongo zaidi 10yrs anajua hadi konyagi....mswazi huyoo
 
Back
Top Bottom