slimdaddy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 531
- 481
kama hilo bichwa hapo juu linavosema sitaki nikwepesh kwepeshe maneno ni mda sas nimekuwa nikijiuliza juu ya wasanii wetu wa hapa tz katik mtandao wa instagram ni vigumu sana ukiweka comment kweny post yake akakujibu labda uwe umemtukana ndo utajibiwa bila ya hivo hawajib cjui ndo hawasomi me cjui
kinacho nishangaza ni pale staa wa nje ya bongo akipost pale insta yani wao ni wakwanz kulike asilimia kubwa wanalike sas cjui ndio nn cjui nyie mwaonaje wadau au nenda kwenye post ya staa mkubwa mf justin bieber yani mastaa wetu kibao amelike
nmemaliza povu ruksa