SHOBO ZA MASTAA WETU KWA WASANII WAKUBWA MITANDAONI

SHOBO ZA MASTAA WETU KWA WASANII WAKUBWA MITANDAONI

slimdaddy

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
531
Reaction score
481
kama hilo bichwa hapo juu linavosema sitaki nikwepesh kwepeshe maneno ni mda sas nimekuwa nikijiuliza juu ya wasanii wetu wa hapa tz katik mtandao wa instagram ni vigumu sana ukiweka comment kweny post yake akakujibu labda uwe umemtukana ndo utajibiwa bila ya hivo hawajib cjui ndo hawasomi me cjui
kinacho nishangaza ni pale staa wa nje ya bongo akipost pale insta yani wao ni wakwanz kulike asilimia kubwa wanalike sas cjui ndio nn cjui nyie mwaonaje wadau au nenda kwenye post ya staa mkubwa mf justin bieber yani mastaa wetu kibao amelike
nmemaliza povu ruksa
 
Na nyie acheni kuwashobokea kwenye post zao.. Maana kama wanalike za "mastaa" inamaanisha zenu wanaziona ila wanadhani kulike zenu ni kujishusha!

Mkuu, huko insta kuna jukwaa la siasa na mie nijiunge?
 
...kinacho nishangaza ni pale staa wa nje ya bongo akipost pale insta yani wao ni wakwanz kulike
Msanii wa Bongo kwa msanii wa nje ni sawa na wewe kwa msanii wa Bongo!!! Bila shaka hata wewe unatamani siku moja ukae pamoja na staa fulani wa Bongo lakini hakuna staa wa Bongo anayetamani kukaa pamoja na staa wa Bongo lakini wao wanatamani wakae pamoja na staa wa nje... simple like that! Don't take it personal bro!
 
Na nyie acheni kuwashobokea kwenye post zao.. Maana kama wanalike za "mastaa" inamaanisha zenu wanaziona ila wanadhani kulike zenu ni kujishusha!

Mkuu, huko insta kuna jukwaa la siasa na mie nijiunge?
me nmeach kulike mana niki like post ya ronald ni kupoteza muda tu utakuta walio like ni watu mil3
sas hata diamond akilike unafukir ataon kweli
kule hakun sias mkuu n mwend wa nusu utupu tu
 
Ongeza commas kwenye accounts,achana na likes hizo waachie wasanii ndio wanapenda.
 
Instagram ni celeb network... Ww kama mburula utaishia kubofya kitufe cha like tu

Si unaona Beyonce ana zero following ...ana shida gan kwan...
 
Back
Top Bottom