Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
- Thread starter
-
- #41
Au wanasiasa wameamua kuisecure hiyo hospitali iwatibu wao tu, kwa hiyo ili kutimua akina Kabwela wameamua kuweka bei zisizowezekanika kwa wengi!Labda wao wanawalenga kuwatibu matajiri tu
Makapuku wasiende hapo
Ova
Demand and supply applies.Acha upumbavu wewe hayawani...
Nenda Aga Khan ndio utaelewa...
Fungua hospitali yako..
HATARI SANA KAKAKaka Mungu tu atunusuru bc la sivyo tutadondoka kama mvua😆
Wakafie huko?Ndugu unatakaje sasa, watu watibiwe bure? Hospitali za serikali zipo, watu waende huko.
Agha Khan, kuna ndugu yangu alilazwa ICU kwa tatizo la Covid 19, kuingizwa tu ICU TZS 6m. Hiyo ndiyo advance payment.Acha upumbavu wewe hayawani...
Nenda Aga Khan ndio utaelewa...
Fungua hospitali yako..
Msilete siasa kwenye taaluma.Hivi Mkurugenzi wa hiyo hospitali ni nani?
Hawa watakua ni wafanyabiashara tena wasiojua maana ya kuwa taasisi inayotoa huduma ya afya. Sijawahi kuona hospitali kukataa wagonjwa kwa sababu yoyote ile.
Halafu shida ya mfumo wa upumuaji sio lazima iwe corona, inaweza kuwa hata blood pressure au tatizo lingine
Ndugu unatakaje sasa, watu watibiwe bure? Hospitali za serikali zipo, watu waende huko.
Kwani wewe hujui kuwa ni gharama kubwa kumhudumia mgonjwa wa Covid 19 kuliko mgonjwa wa kawaida?Hatuwatetei Agha Khan au hospitali yoyote itakayokuja na gharama za kitalii kwa magonjwa ambayo wananchi wengi wanahitaji huduma!
Tunaiamsha serikali na mamlaka zinazohusika na tiba za wananchi zitupie jicho bei hizi utadhani tuko ulaya!
Kairuki wanatushangaza zaidi maana bei zao zimeshoot zaidi kipindi hiki cha korona kuliko ilivyokuwa awali, Je wanakusudia nini kuzipandisha hizo bei kipindi hiki?
Siasa unaleta wewe HamatanMsilete siasa kwenye taaluma.
Wewe unajua gharama za mavazi tu ya kujikinga unapomhudumia mgonjwa wa corona, yanagharimu kiasi gani?
Ukiona huna hiyo, wasiliana na Jafo, ili akueleze namna ya kumfukizia mtu ambaye ni mgonjwa mahtuti.
Duu! Mpaka leo unataka mihuri kama mwenyekiti wa Kijiji? Kwa taarifa yako mihuri imebaki lazima kwa transaction za fedha tu kwingineko kote logo na saini vinatosha kwa taarifa.Kama ni kweli hii imekaa vibaya, ila mkuu mbona tangazo halina muhuri?
Hapo saini umeiona wapi kwenye tangazo?Duu! Mpaka leo unataka mihuri kama mwenyekiti wa Kijiji? Kwa taarifa yako mihuri imebaki lazima kwa transaction za fedha tu kwingineko kote logo na saini vinatosha kwa taarifa.