Shock up za Crown Athlete

Shock up za Crown Athlete

Zinatumika kwenye magari ambayo yanakuwa na adaptive suspension system.

Kwa kifupi hiyo shock up inakuwa na mfumo ambao unacontrol flow ya oil kulingana na mazingira ya barabara ambayo unatembea.

Unaweza kuwa unatembea barabara ambayo iko rough lakini ndani unafeel kawaida tu.

Kwa kifupi inakupa uwezo wa kuchagua namna ambavyo unataka suspension yako iwe kulingana na barabara unayotembea.

Nimeona hii kitu kwenye toyota alphard pia.
Crown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
 
Hapana zile top mount.
Shocks za umeme zipo ila kwenye Crown sijui kama inatumia hizo.
Crown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
Crown Majesta,Gari nyingine (HiluxSurf KZN 185) Supra,Alphard, LandCruiser 100 series..... etc
 
Zinatumika kwenye magari ambayo yanakuwa na adaptive suspension system.

Kwa kifupi hiyo shock up inakuwa na mfumo ambao unacontrol flow ya oil kulingana na mazingira ya barabara ambayo unatembea.

Unaweza kuwa unatembea barabara ambayo iko rough lakini ndani unafeel kawaida tu.

Kwa kifupi inakupa uwezo wa kuchagua namna ambavyo unataka suspension yako iwe kulingana na barabara unayotembea.

Nimeona hii kitu kwenye toyota alphard pia.
Upo sahihi..nimezitafuta mno sijazipata za Alphard.
 
pl11p1pCrown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
Labda nitaje kwa model. S180 baadhi ndio zina hiyo adaptive suspension sysyem.

Kuanzia s200 nyingi zina hiyo kitu.

Crown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
 
Sasa 2002 mpaka 2006 ndio s180. Japo zenye hizo shock za umeme kwa model hiyo ni chache.

Anyway hata kuibiwa pia inawezekana. Siwezi kubisha.
Mkuu mie nakuelewa vizuri. Gari yangu kuna kipindi nilikuwa nahisi inashida nilikutafuta na ukanisaidia na ilikuwa Crown. Ni vizuri kucheki details za gari na mtaalamu kabla ya kufanya manunuzi
 
Back
Top Bottom