Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
mbona dukani kwetu hiyo shock up ni 70000tsh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Crown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.Zinatumika kwenye magari ambayo yanakuwa na adaptive suspension system.
Kwa kifupi hiyo shock up inakuwa na mfumo ambao unacontrol flow ya oil kulingana na mazingira ya barabara ambayo unatembea.
Unaweza kuwa unatembea barabara ambayo iko rough lakini ndani unafeel kawaida tu.
Kwa kifupi inakupa uwezo wa kuchagua namna ambavyo unataka suspension yako iwe kulingana na barabara unayotembea.
Nimeona hii kitu kwenye toyota alphard pia.
Hapana zile top mount.
Shocks za umeme zipo ila kwenye Crown sijui kama inatumia hizo.
Crown Majesta,Gari nyingine (HiluxSurf KZN 185) Supra,Alphard, LandCruiser 100 series..... etcCrown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
Duka lenu lipo wapi?mbona dukani kwetu hiyo shock up ni 70000tsh
moshi.Duka lenu lipo wapi?
Unaona hazipo za umeme ?Huyo fundi mchwara alie kuambia shocup za umeme duuuh kanishangaaza
Unajua gari gani zina hizo shockup ?Kwa crown
Mgongo wa churaUnajua gari gani zina hizo shockup ?
Upo sahihi..nimezitafuta mno sijazipata za Alphard.Zinatumika kwenye magari ambayo yanakuwa na adaptive suspension system.
Kwa kifupi hiyo shock up inakuwa na mfumo ambao unacontrol flow ya oil kulingana na mazingira ya barabara ambayo unatembea.
Unaweza kuwa unatembea barabara ambayo iko rough lakini ndani unafeel kawaida tu.
Kwa kifupi inakupa uwezo wa kuchagua namna ambavyo unataka suspension yako iwe kulingana na barabara unayotembea.
Nimeona hii kitu kwenye toyota alphard pia.
Ni kweli..mimi nimepitia hiyo changamoto..zipo za umeme..Huyo fundi mchwara alie kuambia shocup za umeme duuuh kanishangaaza
Labda nitaje kwa model. S180 baadhi ndio zina hiyo adaptive suspension sysyem.pl11p1pCrown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
Crown gani kwanza mkuu kati ya hizi; yenye hiyo feature Athelet, Majesta, RoyalExtra au Royalsaloon.
Nimeona, ila hizi chache.. wengi hapa bongo wanamiliki crown za 2002 hadi 2006 ndio zimejaaazaaaanaLabda nitaje kwa model. S180 baadhi ndio zina hiyo adaptive suspension sysyem.
Kuanzia s200 nyingi zina hiyo kitu.
Sasa 2002 mpaka 2006 ndio s180. Japo zenye hizo shock za umeme kwa model hiyo ni chache.Nimeona, ila hizi chache.. wengi hapa bongo wanamiliki crown za 2002 hadi 2006 ndio zimejaaazaaaana
Mkuu mie nakuelewa vizuri. Gari yangu kuna kipindi nilikuwa nahisi inashida nilikutafuta na ukanisaidia na ilikuwa Crown. Ni vizuri kucheki details za gari na mtaalamu kabla ya kufanya manunuziSasa 2002 mpaka 2006 ndio s180. Japo zenye hizo shock za umeme kwa model hiyo ni chache.
Anyway hata kuibiwa pia inawezekana. Siwezi kubisha.