Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakwama wapi mh mjumbeMkuu, kwanza naomba nikupongeze kwa kumiliki chuma in town.
Pili sina ninacho kijua kuhusu ndinga, ebu tusubiri wajuaji wa hizi mambo wakuje...
Naomba kuwasilisha.
Hiko kidish cha azam huko nyuma hakiuzwi mkuu..?Wadau, natafuta spare hii. Subaru Forester cross sport 2007 iligonga jiwe kwenye kulikimbia basi lililokuwa lime overtake bila utaratibu wakati wa usiku. Shockup moja ya mbele imepinda na hivyo tairi ina gusa na kulika upande.
Tatizo ni huyu shemeji yako mh mjumbe....Unakwama wapi mh mjumbe
Kama kule chini kuna joto la kutosha na kuna kusinyaa na kutanuka, basi hizo gharama si lolpte wala chochote[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo ni huyu shemeji yako mh mjumbe....
Maana urembo na vipodozi anavyo tumia ni vya gharama juu sana...teh[emoji28]View attachment 1150693
0715666656 Jerry spare and service mcheki jamaa yangu huyo atakupatia haraka sana...
Nikweli mh mjumbe, maana raha yenye ninaipata pale downstairs, hata V8 sifananishi...teh[emoji28][emoji28]Kama kule chini kuna joto la kutosha na kuna kusinyaa na kutanuka, basi hizo gharama si lolpte wala chochote[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikweli mh mjumbe, maana raha yenye ninaipata pale downstairs, hata V8 sifananishi...teh[emoji28][emoji28]
Bongo huwa tunaumizana sana kwenye spareparts. Sijui tatizo lipo upande wa TRA(kodi kubwa kuingiza vipuri) au ni wafanyabiashara tuu wanaamua kutuumiza kwakuwa hatuna namna. Hiyo ni shockup tuu milion, sasa ukipiga hesabu ya kipuri kimoja kimoja kwa gari nzima si itafika kwenye 50m?dah ziko mzee pale machinga complex kuna jamaa yangu anaziuza mple complete kwenye 1m
Ghali sana brodah ziko mzee pale machinga complex kuna jamaa yangu anaziuza mple complete kwenye 1m
Kwa bei hiyo labda ni shock up za mchina ambazo unafunga kila baada UA miezi 2 unabadilisha lakini ukitaka kitu genuine ambayo ukifunga umefunga mfukoni weka kama million 1+Shock up ya Subaru inafika laki 4 jaribu kufika Kariakoo mta wa Livingstone
Mkuu Subaru hawana spare za bei tofautitofauti kama Toyota hiyo bei ya milion 1 umeitoa wapi hakuna kitu kama hichoKwa bei hiyo labda ni shock up za mchina ambazo unafunga kila baada UA miezi 2 unabadilisha lakini ukitaka kitu genuine ambayo ukifunga umefunga mfukoni weka kama million 1+