Shockup ya Subaru

Shockup ya Subaru

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
14,804
Reaction score
10,715
Wadau, natafuta spare hii. Subaru Forester cross sport 2007 iligonga jiwe kwenye kulikimbia basi lililokuwa lime overtake bila utaratibu wakati wa usiku. Shockup moja ya mbele imepinda na hivyo tairi ina gusa na kulika upande.
 
Picha za tairi inavyolika
20190710_142404.jpg
20190710_142348.jpg
20190710_142321.jpg
 
Kama kule chini kuna joto la kutosha na kuna kusinyaa na kutanuka, basi hizo gharama si lolpte wala chochote[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikweli mh mjumbe, maana raha yenye ninaipata pale downstairs, hata V8 sifananishi...teh[emoji28][emoji28]
 
dah ziko mzee pale machinga complex kuna jamaa yangu anaziuza mple complete kwenye 1m
Bongo huwa tunaumizana sana kwenye spareparts. Sijui tatizo lipo upande wa TRA(kodi kubwa kuingiza vipuri) au ni wafanyabiashara tuu wanaamua kutuumiza kwakuwa hatuna namna. Hiyo ni shockup tuu milion, sasa ukipiga hesabu ya kipuri kimoja kimoja kwa gari nzima si itafika kwenye 50m?
 
Shock up ya Subaru inafika laki 4 jaribu kufika Kariakoo mta wa Livingstone
Kwa bei hiyo labda ni shock up za mchina ambazo unafunga kila baada UA miezi 2 unabadilisha lakini ukitaka kitu genuine ambayo ukifunga umefunga mfukoni weka kama million 1+
 
Back
Top Bottom