Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nimemiss kucheka km enzi zile wizo ππππTucheke ππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemiss kucheka km enzi zile wizo ππππTucheke ππππππ
Ume kua sio mbaya,Yaishe tusome comments bac mwenzio sina vibe kabisaaa la kubishana..!!
Sijui nimeanza kukua ss hivi, yani ile mizuka km ya zamani haipo kabisa.!!
Au ww unaonaje?? π€£π€£π€£
Oya una onaje ukija kuni tukana face 2 face??Bado hujagombana na mabakuli nione mtanange wa vumbi kutifuka dadeki zenyu
πππππππππππ mi staki bana wizo ππππ naumwa komwe π’Nimemiss kucheka km enzi zile wizo ππππ
Nakuja.Oya una onaje ukija kuni tukana face 2 face??
Coca humu atafungiwa sio mda ππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£ Poor Brain umesikia??
Muacheni coca wangu π€π€π€πCoca humu atafungiwa sio mda πππππππππ
Let's set the location, halafu Nita kuja kusimulia uli endaje.Nakuja.
πππππππmi nalala komwe linauma limechoshwa na MIONGOZO π₯°
Wizoo wizoooo πππππMuacheni coca wangu π€π€π€π
Kweli wizo ππππππππππππππππ mi staki bana wizo ππππ naumwa komwe π’
Nitumie lokesheni nikodi uba nije harakaLet's set the location, halafu Nita kuja kusimulia uli endaje.
π€£π€£π€£π kwani kaua mtu?? Si uhuru wake kuongea kile anachopendaCoca humu atafungiwa sio mda πππππππππ
πππππ ata ajanitafuta mshamba yulee sijui hanith yule mtoto khaaaa πΉπKweli wizo πππππ
Nimekumbuka ulivyompa email mshamba akutafute siku ile bac mbavu zinaniumaga kwa kucheka
π€£π€£π€£π€£π€£ oyooooooo!!Nakuja.
Ndiwooooooo NA ISITOSHE nchi imefunguliwa KIDEMOKRASIA jamani wizo π₯°π₯°π€£π€£π€£π kwani kaua mtu?? Si uhuru wake kuongea kile anachopenda
πππππ kaogopa kibao kitamgeukia shemeji yanguπππππ ata ajanitafuta mshamba yulee sijui hanith yule mtoto khaaaa πΉπ
Coca anamuuliza wizo maswali ambayo majibu yake yanaleta taflani humu πππππππππππ€£π€£π€£π kwani kaua mtu?? Si uhuru wake kuongea kile anachopenda
Yaani Mimi niku kodie uba, laana sumaka ka wee?!.Nitumie lokesheni nikodi uba nije haraka
Kiume yule ni mwanaume kbs Wala hajabadili jinsiaDah! Sasa hapo wanampeleka jela ya kike au ya kiume?
Asisahau kwenda na dawa zake zote muhimu...