Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Bob risky hujawahi kubadili jinsia alibadili muonekano tu ila mzee baba anaekabisa ,kwenye kifua anawekaga masiponji tu na kwenye trako anavaa vigodoro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Coca anamuuliza wizo maswali ambayo majibu yake yanaleta taflani humu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe kumbe huwajui vizuri hawa ndo umewajua ss hivi!! 🤣🤣🤣🤣😂
Mwenzio mbavu zinaniumaga kwa kucheka wakianza mineno yao migumu na ya kukera
 
Wewe kumbe huwajui vizuri hawa ndo umewajua ss hivi!! 🤣🤣🤣🤣😂
Mwenzio mbavu zinaniumaga kwa kucheka wakianza mineno yao migumu na ya kukera
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mi kila siku nasema huyu wizo kwa akili yake hiyo..
Ili uwe rafiki yake lazima ujitoe ufahamu kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Sio kwa kushuka vile khaaa alafu yupo comfortable BICHWA KOMWE - wa watu wala hana mbambamba 😂😂😂
 
Back
Top Bottom