Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Ndio hivo wizo wangu ww mshangazi 🀣🀣🀣
Shangazi mwenye wowowo lake mjini jamanii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mabakuli aniache kabisa miee kwanza mi sipendi midume Γ‘yamitako 😹😹😹
 
Ndio wana report...
Mwanzoni niliwambia mi kule mda mwingine sijui anaongelewa nani ila tuu napita na comment kufurahi tu...

Ila wapi wakanijumuisha na mimi mweeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Masnitch wengi humu ndiomana mi naishi nao kibishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona kafuta sijaona jamani wizo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ntakutumiaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema mtoto yuko gudi kajaa minyama kwenye hips, sipati picha huko nyuma ni mafuta tu kama ya KITIMOTRO.

Ana tumikono tuzuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯°πŸ˜’
 
Back
Top Bottom