BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo amecheza kama peĺe🤸♀️
Ame hojiwa mahakamani, kasema ye wa kiume. So kapelekwa huko.
Nimepata maana yanguItakuwa hujaelewa kwa nini kasema yeye wa kiume 😀
Think ephen think...
NaungaKuna makosa makubwa zaidi ya huyu na watu waligewa option ya faini.
Kwa Idris nafikiri hukumu yake imezingirwa na ukweli kua Nigeria wana uislamu mkubwa pia jamii yao haikubaliani kwa uwazi na Idris au yoyote anayetaka kubadili jinsia au kua homosexual.
Hukumu imekua influenced na chuki na imani
Wahuni wa torino wakivyo na upwiru watamchoka kweli ? Acha utani masta, watamtafuna ile mbayasasa humo ataliwa Mk had wachoke wafungwa
Lazima aki toka ni marehemu 🤣😂sasa humo ataliwa Mk had wachoke wafungwa
una jua kule wao ni wazee wa kanzu, so huenda wali Ina kumbinya hadharani ni kutafuta shida kwa haki za wazee wanao wadhamini.upele umeota kwa mkunaji...
Hahaha dahNyapara apelekewa Mke na Serikali ya Jamhuri
Huo ndo mwisho wake, na huenda ndo bye bye ticketWahuni wa torino wakivyo na upwiru watamchoka kweli ? Acha utani masta, watamtafuna ile mbaya
kasha enda na maji, lazima uta sikia kafa au kaathirikaDuh atapata tabu sana huyo mwanaharamu aliye laaniwa