Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Kamala Harris vice wa USA aliulizwa hilo swali California kuhusu hawa trans gender wakifungwa anaenda wapi , akajibu mtu atafungwa kutokana na jinsia yake ya asili sio aliyoitengeneza kwa hiyo trans women atafungwa kawaida gereza la wanaume !

Hii sio kwa wale wanaobadilisha Genitals tu hata wale wale walioboost hormone n.k
 
una jua kumbana hadharani no risky, so huko ata sema tu kwa kina.
Hata huko inaweza kuzua gumzo vibaya mno ! Na ndo wakamwongezea fame zaidi ! Mashirika kama Amnesty yakisimama issue itarise pia huko nje jela huwa wana utaratibu wa kuwafungia kwenye maeneo maalum ili asipitie bullying ! Wanaweza kumweka kwenye maeneo kama wanayokaa wale wanaosubiria hukumu za kunyongwa na vifungo vya maisha.
 
Una Kumbuka alicho kisema Harris Kamala??, na utaratibu wa jela za kiafrika SI una upata??
USI sahau itikadi kali za mnigeria(imani yao)
 
This is UNACCEPTABLE we should all be equal in eye of the law, hichi kitendo cha kumpa hukumu ya jela moja kwa moja pasipo faini ni cha kukemewa kwa nguvu zote.
Kwanza lipesa lenyewe la naira halina cha kujivunia chochote kwenye masoko ya fedha, watu huku Amerika tunawachambisha striper kwa dola na hamna anayepaniki. Kweli umasikini ni ushetani
Kakemee huko naija, hapa unatupigia kelele
 
Serikali ya Nigeria imesema itamlinda na kumkinga dhidi ya sex predators huko lupango. Na pia watampa selo lake mwenyewe spesho. Although za chini chini kabisa, nikuwa Kuna drug lord kafungwa jela X na alikuwa akimpa sana sapoti bwana okuneye. Sasa baada ya kufungwa huyo kingpin, ikawa hapati viuno vya bwana okuneye. Hivyo wakaona njia pekee nzuri nikutengeneza mazingira ya kuwa pamoja kwa atleast a short time.
Hao transgenders Nigeria ni wengi na hakuna mtu ana muda nao, kwahiyo bwana okuneye alikuwa hatufutwi na mtu.
 
Yah ndo utaratibu nadhani
 
Sio rahisi, selo mfungwa anakaa muda wa kulala tu huyo sio mahabusu ni mfungwa.
 
Back
Top Bottom