Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kamala Harris vice wa USA aliulizwa hilo swali California kuhusu hawa trans gender wakifungwa anaenda wapi , akajibu mtu atafungwa kutokana na jinsia yake ya asili sio aliyoitengeneza kwa hiyo trans women atafungwa kawaida gereza la wanaume !
Hii sio kwa wale wanaobadilisha Genitals tu hata wale wale walioboost hormone n.k
Hii sio kwa wale wanaobadilisha Genitals tu hata wale wale walioboost hormone n.k