Wizoo em kwendraa huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi mbona mie siwezagi kugombana najikuta nacheka tu mpaka adui anakata tamaa na kuzimia [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wizo asijisahulishe
Komaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Coca humu atafungiwa sio mda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rhabhekhaaaaa!!! Wizoo akeee.Muacheni coca wangu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji85]
Wa huku bongo ni watu wa chama utasubiri sana.Kahukumiwa kwenda jela kwa kipindi Cha miezi 6, hope na Huku bongo wata enda soon
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee uduguu sema kweliii?? Mie sitakiiiiKweli wizo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka ulivyompa email mshamba akutafute siku ile bac mbavu zinaniumaga kwa kucheka
Semaa wee uduguu!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] kwani kaua mtu?? Si uhuru wake kuongea kile anachopenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo em huko, nacheka asubuhii hii km mwehu, khaaah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ata ajanitafuta mshamba yulee sijui hanith yule mtoto khaaaa [emoji81][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maswali gani nawee? Akati ndo mnayapenda hayoo!!Coca anamuuliza wizo maswali ambayo majibu yake yanaleta taflani humu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesaa unazo wizooo, asikuchukulie poaah!!![emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] nakodi mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii!!!akii na nilivyo na upwiru, leo mabakuli atanipooza [emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe kumbe huwajui vizuri hawa ndo umewajua ss hivi!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Mwenzio mbavu zinaniumaga kwa kucheka wakianza mineno yao migumu na ya kukera
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapiiii shangaziii pureeee!!!kibao gani jaman akati mie shangazi pure [emoji3059][emoji3059][emoji3059] afu wizooo
Watu wamenyooka km rulaaaaaaaaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi kila siku nasema huyu wizo kwa akili yake hiyo..
Ili uwe rafiki yake lazima ujitoe ufahamu kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwa kushuka vile khaaa alafu yupo comfortable BICHWA KOMWE - wa watu wala hana mbambamba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mabakuliii sio kwa upwiru huu ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we kuweza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivii wee ni muoga kiasi hiki? Yaan JF inakutetemesha hadi hizo pumbuu? Kabisaa?Alafu nimegundua kuna watu wanapitia hapa kimya kimya..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Badae PM kule tunashtuliwa kuwa makini, jamani weee [emoji23][emoji23][emoji23]
Yanatetemeka km jenereta bovu la kingmax??Wazazi tukiona hivi matumbo ya uzazi hadi yanatetemeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wizoooo!!! Mie sitakii bhanaa khaaahNakupampu tu upepo, mie madume ya makalio makubwa hata sipendagi kwa kweli [emoji3061][emoji3061]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umejambaa! Na hivi una makalio kama frampeni tumekwisha [emoji81][emoji81][emoji81]
Acha uoga wee wa kiume ujue? Unalia lia kwa modes iwejeeee?Ndio wana report...
Mwanzoni niliwambia mi kule mda mwingine sijui anaongelewa nani ila tuu napita na comment kufurahi tu...
Ila wapi wakanijumuisha na mimi mweeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]