Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Coca yaishe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Khaaa wewe asubhi yote hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em kwendraaa!!!
 
Udugu nimekua ss hivi na nimewadharau vidampa wote wanaotafuta kiki, nishawachoka nabaki nawachora tyuu!!
Lamomy chama kubwa km Arsenal [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu umefail kwa arsenal hapo, sema km The citizens!!!
 
Wawaache mtambe mnavyoweza, hili jukwaa huru..!! Huko majumbani kesi nyingi wanawaomba mambo meusi wake zao, halafu huku wanajifanya wakereketwa mxiewwww.!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanachekeshaaa balaaa,
 
Umezidi kuswampa nasikia jana anko maba alitubless na pic kali, yupo km Chris brown [emoji12][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chris Brown wa Tandika labda, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Em huko nawee.
 
Uongo huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya mi sina neno nasubiri aje coca hapa tuyamalize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana usije ukawasha moto bure hapa
Uyamalize na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukomeeeee, sitaki mazoea na wanao lelewa na mashangazi wa maporiniii. Woiiiiiih
 
Uyamalize na nani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukomeeeee, sitaki mazoea na wanao lelewa na mashangazi wa maporiniii. Woiiiiiih
Kwani shangazi na hili koloni lake?? 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…