Naangalia mechi ya Arsenal hapa, mume wa kazi gani mimi?? Nimpike supu au?? π€£π€£π€£Weeeeeeeh kwanza subiri acha zako wee upo kwa ndoa alafu unakua mkorofi..
Ujue wapo wachache sasa hvi eeeeh we jikute tuu πππ
Promise hi mada inaishia hapa...Kuacha siwezi coz umbea ndio kitu nakipenda duniani.! Yani mimi kufatilia maisha ya watu napenda balaa, hapo labda useme nipumzike kwa muda ila kuacha nitakudanganya π€£π€£π€£
Hiyo zawadi itume kwenye kimbinyiko au baraka nitaipokea Magufuli π
πππππππππππππππππππππππππππππNaangalia mechi ya Arsenal hapa, mume wa kazi gani mimi?? Nimpike supu au?? π€£π€£π€£
Hahaaaa!! Naipumzisha kwa muda ila nikikumbuka naiamsha ππππPromise hi mada inaishia hapa...
Nakuomba bana ππππ
Kwani mwenzetu ubembelezeki kheeee
Ile inaitwa changamsha kijiwe dogo π€£π€£π€£πππππππππππππππππππππππππππππ
Ukajua kuchekesha watu kule...
Daaah ila weww na kichwa hicho
Hilo limeisha nipe mda tuu..Hahaaaa!! Naipumzisha kwa muda ila nikikumbuka naiamsha ππππ
Kunibembeleza mimi labda utume hiko kidumu cha divai π
Kwahiyo dar siku hizi mnapaita down?? Mxiewwww π€£π€£π€£π€£Hilo limeisha nipe mda tuu..
Kwa sasa mambo ni mengi ila nikishuka kule down tuu narekebisha kila kitu πππππππππ
ππππππππππππππππππππIle inaitwa changamsha kijiwe dogo π€£π€£π€£
Mi kuolewa bado sanaβa na siolewi na mmatumbi mwenzangu mana lazima tutaishi kwa kubishana kila siku..!!
ππππππ Pa hovyo tuu hamna maajabu...Kwahiyo dar siku hizi mnapaita down?? Mxiewwww π€£π€£π€£π€£
Watu wa mikoani kwan mnatuchukuliaje?? Sema nakuja njia panda ya ulaya boya wewe!!
Huku town lazima mpaheshimu.!! πππ
Mi mdomo kwenye keyboard ila live unanikataa ππππππππππππππππππππππππ
Basi mnyamwezi anakufaa sana wewe...
Sasa jiandae kuwa mpole..
Behave usiwe mdada wa pwani at
πππππ
Pa hovyo wakati kila ndoto ya mtu wa mkoa kuja dar π€£π€£π€£π€£ππππππ Pa hovyo tuu hamna maajabu...
Na vile tukija huko hao vijana wenu tunajua ku overtake wanabaki wana lia lia ππππ
ππππ Oooooh ndo nyie live live Aibu ka yote..Mi mdomo kwenye keyboard ila live unanikataa ππππ
Kwanza mvivu kuongea nasikia kichefu chefu kuongea na wamatumbi mna gubu sanaβa π€£π€£π€£
Wale ambao hawajielewi nazani ππππππππPa hovyo wakati kila ndoto ya mtu wa mkoa kuja dar π€£π€£π€£π€£
πππππ Kwanza hata mtu wangu wa karibu akiambiwa ndio mimi ninaye type pumba hizi anakataa mpk kesho.!!ππππ Oooooh ndo nyie live live Aibu ka yote..
Mpaka mtu unajiuliza ndo huyu au...
Yaani ww unakutana na mtu live anakukamia macho hayo.ππππππππ
Mpaka upaliwe πππππ
Km hampapendi si mbaki huko huko huku mnakuja kufanya nini.?? ππππWale ambao hawajielewi nazani ππππππππ
ππππππππππππ Kwanza hata mtu wangu wa karibu akiambiwa ndio mimi ninaye type pumba hizi anakataa mpk kesho.!
Si kusalimia ndgu jamaa na marafiki wachoyo wachoyo πππππππKm hampapendi si mbaki huko huko huku mnakuja kufanya nini.?? ππππ
Hautokuja kunijua mpk unakufa π€£π€£π€£π€£πππππππ
Ngoja tukujue sasa...
Mbna ntakua nakusumbua humu hutokaa kwa amani πππππ
Usiku mwema! Nimeangalia mechi mpk imeisha na tumeshinda basi wacha niingie kwenye maombi. Ulale ukue dogoSi kusalimia ndgu jamaa na marafiki wachoyo wachoyo πππππππ
Ooooooooh kusema hawapo wanaokujua au...?Hautokuja kunijua mpk unakufa π€£π€£π€£π€£
Mimi sipendagi kujuana nje ya JF na member yoyote yule.!!