Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Naangalia mechi ya Arsenal hapa, mume wa kazi gani mimi?? Nimpike supu au?? π€£π€£π€£Weeeeeeeh kwanza subiri acha zako wee upo kwa ndoa alafu unakua mkorofi..
Ujue wapo wachache sasa hvi eeeeh we jikute tuu πππ