Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Weeeeeeeh kwanza subiri acha zako wee upo kwa ndoa alafu unakua mkorofi..
Ujue wapo wachache sasa hvi eeeeh we jikute tuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naangalia mechi ya Arsenal hapa, mume wa kazi gani mimi?? Nimpike supu au?? 🀣🀣🀣
 
Kuacha siwezi coz umbea ndio kitu nakipenda duniani.! Yani mimi kufatilia maisha ya watu napenda balaa, hapo labda useme nipumzike kwa muda ila kuacha nitakudanganya 🀣🀣🀣

Hiyo zawadi itume kwenye kimbinyiko au baraka nitaipokea Magufuli 😊
Promise hi mada inaishia hapa...
Nakuomba bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani mwenzetu ubembelezeki kheeee
 
Naangalia mechi ya Arsenal hapa, mume wa kazi gani mimi?? Nimpike supu au?? 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukajua kuchekesha watu kule...
Daaah ila weww na kichwa hicho
 
Promise hi mada inaishia hapa...
Nakuomba bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani mwenzetu ubembelezeki kheeee
Hahaaaa!! Naipumzisha kwa muda ila nikikumbuka naiamsha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kunibembeleza mimi labda utume hiko kidumu cha divai 😜
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukajua kuchekesha watu kule...
Daaah ila weww na kichwa hicho
Ile inaitwa changamsha kijiwe dogo 🀣🀣🀣
Mi kuolewa bado sana’a na siolewi na mmatumbi mwenzangu mana lazima tutaishi kwa kubishana kila siku..!!
 
Hahaaaa!! Naipumzisha kwa muda ila nikikumbuka naiamsha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kunibembeleza mimi labda utume hiko kidumu cha divai 😜
Hilo limeisha nipe mda tuu..
Kwa sasa mambo ni mengi ila nikishuka kule down tuu narekebisha kila kitu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Hilo limeisha nipe mda tuu..
Kwa sasa mambo ni mengi ila nikishuka kule down tuu narekebisha kila kitu πŸ™πŸ™πŸ™πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Kwahiyo dar siku hizi mnapaita down?? Mxiewwww 🀣🀣🀣🀣
Watu wa mikoani kwan mnatuchukuliaje?? Sema nakuja njia panda ya ulaya boya wewe!!
Huku town lazima mpaheshimu.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile inaitwa changamsha kijiwe dogo 🀣🀣🀣
Mi kuolewa bado sana’a na siolewi na mmatumbi mwenzangu mana lazima tutaishi kwa kubishana kila siku..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Basi mnyamwezi anakufaa sana wewe...
Sasa jiandae kuwa mpole..
Behave usiwe mdada wa pwani at
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo dar siku hizi mnapaita down?? Mxiewwww 🀣🀣🀣🀣
Watu wa mikoani kwan mnatuchukuliaje?? Sema nakuja njia panda ya ulaya boya wewe!!
Huku town lazima mpaheshimu.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pa hovyo tuu hamna maajabu...
Na vile tukija huko hao vijana wenu tunajua ku overtake wanabaki wana lia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Basi mnyamwezi anakufaa sana wewe...
Sasa jiandae kuwa mpole..
Behave usiwe mdada wa pwani at
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi mdomo kwenye keyboard ila live unanikataa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza mvivu kuongea nasikia kichefu chefu kuongea na wamatumbi mna gubu sana’a 🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pa hovyo tuu hamna maajabu...
Na vile tukija huko hao vijana wenu tunajua ku overtake wanabaki wana lia lia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pa hovyo wakati kila ndoto ya mtu wa mkoa kuja dar 🀣🀣🀣🀣
 
Mi mdomo kwenye keyboard ila live unanikataa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza mvivu kuongea nasikia kichefu chefu kuongea na wamatumbi mna gubu sana’a 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Oooooh ndo nyie live live Aibu ka yote..
Mpaka mtu unajiuliza ndo huyu au...
Yaani ww unakutana na mtu live anakukamia macho hayo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mpaka upaliwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanza hata mtu wangu wa karibu akiambiwa ndio mimi ninaye type pumba hizi anakataa mpk kesho.!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanza hata mtu wangu wa karibu akiambiwa ndio mimi ninaye type pumba hizi anakataa mpk kesho.!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja tukujue sasa...
Mbna ntakua nakusumbua humu hutokaa kwa amani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Km hampapendi si mbaki huko huko huku mnakuja kufanya nini.?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si kusalimia ndgu jamaa na marafiki wachoyo wachoyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja tukujue sasa...
Mbna ntakua nakusumbua humu hutokaa kwa amani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hautokuja kunijua mpk unakufa 🀣🀣🀣🀣
Mimi sipendagi kujuana nje ya JF na member yoyote yule.!!
 
Si kusalimia ndgu jamaa na marafiki wachoyo wachoyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usiku mwema! Nimeangalia mechi mpk imeisha na tumeshinda basi wacha niingie kwenye maombi. Ulale ukue dogo
 
Hautokuja kunijua mpk unakufa 🀣🀣🀣🀣
Mimi sipendagi kujuana nje ya JF na member yoyote yule.!!
Ooooooooh kusema hawapo wanaokujua au...?

Sis nature haipo hivo bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kujuana hakuna shida mbona.
Alafu hakuna kitu kizuri kama hiko aiseee .
Ni vile tu usikutane na mtu wa hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom