Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Kabisaa kitakachofuata utasikia amekufa,amejinyonga na mengineyo ...walimtafuta muda tu sasa amejaa mwenyewe kwenye 18
una jua Nigeria Wana pewa misaada pia, so wange mbinya bila kosa ni kuji tafutia shida tuπŸ€“.

wame cheki njia zote, hii ndo ikawa kama loop hole yao kuli tesa.
Huko ndani yata mkuta mazito Sana.
 
Mzee kwa atakacho enda fanyiwa behind the scene, no zaidi ya umafia.
Maana without madawa na ma sindano yake.
Ata kuwa Kama kinyonga, so hiyo ni death ticket
huyo ni wakumaliza mara moja anachokifanya mtandaoni ni kuwashawishi vijana kufuata upotofu wake wa madili kinyume na desturi za mwafrika na vitabu vya dini

serikali inakwenda kumuua kwa manufaa ya kizazi kilichobakia walio wengi
 
mzee kumbaba hadharani na Huku Wana pewaga misaada ni hatari.
So wali tafute loop hole ili washughukike nae tu.

So ni end to end yaa safari yake hiyo, uta sikia kaji nyonga au kafa kwa kuzidishiwa dozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…