Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Anaitwa IDRIS.Boby risky a.k.a mjuba aliye left group la makamanda.
Hatimaye ame hukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya naira.
hakimu ame muondolea kipengele Cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
naona wali msaka long time, Sasa ame jaa.
View attachment 2961950View attachment 2961951View attachment 2961952
Ataozea hukoNa ni juzi tu kafanya Surgery nyingine tena...Sijui itakuwaje...[emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ataozea huko
Sana atabanduliwa atakavyo kuleHapo amecheza kama peĺe🤸♀️
SadAtaozea huko
Naona bado kakomaa faceFacial surgery iligoma adi apige make-up,
Mbona picha ya pua ya kulia na kushoto zimetofautiana. Au nayo ni make-upAme hojiwa mahakamani, kasema ye wa kiume. So kapelekwa huko.
View attachment 2961954
Chaaaa ndevu tena??? Awasiliane na dayon ampe siri ya kukomesha ndevu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niliona picha yake jana...
Ndevu zimeanza kuota...zinaonekana kabisa..
Jamaa Jaji alipomuuliza ataje jinsia yake kasema yeye ni Mwanaume! Ataki jela ya Wanawake🤣🤣🤣
Naisi Serikali yake wamemchoka. Na wangesema wamshtaki kama Shoga ingeleta marumbano na Watetezi wa hizo mambo. Ila now wamempa kesi isiyo na lawama .. wanaenda malizana nae.Huo ndo mwisho wake, na huenda ndo bye bye ticket
Ndo hivyo chief, huko uta sikia kaji nyonga, au Ali kosa dawa fulani ambazo Serikali haitoi kwa wafungwa.Naisi Serikali yake wamemchoka. Na wangesema wamshtaki kama Shoga ingeleta marumbano na Watetezi wa hizo mambo. Ila now wamempa kesi isiyo na lawama .. wanaenda malizana nae.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chaaaa ndevu tena??? Awasiliane na dayon ampe siri ya kukomesha ndevu
Ameona aende jela ya vidume akafaidi vizuri zaidi miboro yenye upwiru!Jamaa Jaji alipomuuliza ataje jinsia yake kasema yeye ni Mwanaume! Ataki jela ya Wanawake🤣🤣🤣
Hapo pana balaaaaaah🤣🤣🤣🤣 mikorogo sasa asipobeba, akitoka huko atakua mkaa
Sio mazuri kucheka ila dah, jamaa wamemfanyia makusudi kabisa kumfunga. Mungu amsaidie.Kakemee huko naija, hapa unatupigia kelele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mikorogo sasa asipobeba, akitoka huko atakua mkaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa kutopewa adhabu ya faini, eti Jela moja kwa moja, km sio uonevu wa wazi huu.This is UNACCEPTABLE we should all be equal in eye of the law, hichi kitendo cha kumpa hukumu ya jela moja kwa moja pasipo faini ni cha kukemewa kwa nguvu zote.
Kwanza lipesa lenyewe la naira halina cha kujivunia chochote kwenye masoko ya fedha, watu huku Amerika tunawachambisha striper kwa dola na hamna anayepaniki. Kweli umasikini ni ushetani