Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

Kwani shangazi na hili koloni lake?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo anamlea, ameona ajipooze kwa dogo dogo, Mr miongozo manjegeka mingii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo anamlea, ameona ajipooze kwa dogo dogo, Mr miongozo manjegeka mingii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeeh!! 🤣🤣🤣🤣
Nyie shangazi nilijua tyuu!! Hawezi kutulia na sele peke yake, nguvu hana ziliishia kwa wale masuria wengine 😝😝
 
Weeeeh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie shangazi nilijua tyuu!! Hawezi kutulia na sele peke yake, nguvu hana ziliishia kwa wale masuria wengine [emoji13][emoji13]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mie ctakii, nachekaa km chiziiii.
Wee c ndo ulikua shost ake, hakukupa list ya babazi wake, kipindi akiwa separated na Mr miongozooo? Uwiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu mie ctakii, nachekaa km chiziiii.
Wee c ndo ulikua shost ake, hakukupa list ya babazi wake, kipindi akiwa separated na Mr miongozooo? Uwiiiih
Hakuwahi kuchepuka mpk shem sele alivyorudisha majeshi 😝😝😝
Nasikia kitu kilikuwa mnato 👌
 
This is UNACCEPTABLE we should all be equal in eye of the law, hichi kitendo cha kumpa hukumu ya jela moja kwa moja pasipo faini ni cha kukemewa kwa nguvu zote.
Kwanza lipesa lenyewe la naira halina cha kujivunia chochote kwenye masoko ya fedha, watu huku Amerika tunawachambisha striper kwa dola na hamna anayepaniki. Kweli umasikini ni ushetani
Kilichomfunga ni Ushoga....mengine ni visingizio.
 
Sio laana, ni mikosi, gundu, nuksi, giza zote hapa unapataaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ushindwee wee tyuu.
Basi ngoja ninywe kidogo nikilewa ndo nakuwa mtamu 😅😅😅😅 ngoja nipate hata moja bia.
 
Unalelewa!!! Mxxxxiiiiieeeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani ananilea mimi...!!!
Nipo kwa shangazi angu mwingine sio yule wa kunilea, huyu anilei 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kuwa muelewa...
 
Back
Top Bottom