Shombe la kisomali come back again

Shombe la kisomali come back again

Mods waunge Mkono juhudi za Mzee baba

Watoe msamaha kwa wote wataokiri Makosa ndani ya Siku 7
 
Ban kawaida tu ila ingekuwa kukosa papuchi hapo pangechimbika aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaaaa, watu mnavituko aiseeh
 
Nilipigwa ban isiyo na kikomo nikaja na ID nyingine.

Kuna ban huwa zinatolewa siku za wikiendi hizo huwa ni za muda mfupi ila zile za kuanzia Jumatatu, Jumanne na Jumatano ni kuanzia miezi sita hadi 10.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Niliwahi comment issue ya Nandy nilikula ban hatar..ban mbaya aisee acheni tu
 
Back
Top Bottom